Timu za Brighton na Newcastle zapanda daraja ligi kuu Uingereza

Timu za Brighton na Newcastle zapanda daraja ligi kuu Uingereza

haijawahi kujulikana hapa, ila mimi ni shabiki wa kufa wa Newcastle United
Tangu tupo championship msimu nilikuwa na uhakika wa 100% kama tungepanda ligi ujio wa RB uliongeza chachu na hamasa kwetu.
Mike Ashley aliweka ubahili kando na kufanya usajili wa maana kwa kumchukua mtoto matata sana Lascelles na anafanya vizuri
kuondoka kwa Georginio Wijnaldum ilikuwa ni pigo sana kwetu ila kila kitu kipo sawa.
Natarajia mengi msimu ujao toka kwa Toon Army na nina imani tunaweza shiriki michuano ya ulaya
[HASHTAG]#ComeOnUToons[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WeAreAllUnited[/HASHTAG]
[HASHTAG]#HereWeGoMagpies[/HASHTAG]
Aleksander Mitrovic
Ayoze Perez
Vurnon Anita
Chancel Mbemba
Daryl Jaanmat
Cheikh Tiote
Mapou Yanga-Mbiwa
Napaona st James park kama sehemu ngumu kwa big Six new session maana Rafa ni MTU wa tactics sana
 
Mara nyingi team ikishuka daraja wachezaji wanaondoka... then inabak jina tu... inakuwa average kama team za huko.. kupanda inachukua muda mrefu Newcastle bahat nzur aliuza wachezaj wachache probably wa 2..... lakn hizo team za championship n mbovu sanaaa ila hakuna ugumu

Hoja mfu kabisa. Sasa mbona Newcastle wako chini ya Brighton? Nao walishuka halafu hawakuuza hata mchezaji mmoja?
 
Utoto unakusumbua...
hivi umeanza lini kushabikia mpira?
wewe ni shabiki wa timu ipi epl?
nitajie makocha wanne wa mwisho wa hiyo timu unayoshabiki.
taja na kinara wa magoli wa hiyo timu unayoshabikia
ukijibu hayo maswali ndo mimi nitaendelea kujadili mpira na wewe.
Kaka acha dharau..... tumefuatilia EPL na championship since 1988 ..... enzi za akina Blackburn rovers wako on fire....
 
Kaka acha dharau..... tumefuatilia EPL na championship since 1988 ..... enzi za akina Blackburn rovers wako on fire....
sasa mbona unakuwa m'bishi sana kwa vitu ambavyo vinaeleweka
 
Hoja mfu kabisa. Sasa mbona Newcastle wako chini ya Brighton? Nao walishuka halafu hawakuuza hata mchezaji mmoja?
Hoja mfu ki VP.. kama team inauza wachezaji wanaondoka unadhan itapanda vip Newcastle haikuuza ndo maana inapanda... otherwise ingesota kama akina Leeds
 
Napaona st James park kama sehemu ngumu kwa big Six new session maana Rafa ni MTU wa tactics sana
lolote linaweza tokea ndugu epl haitabiriki
msimu wa 2013/2014 tulimaliza nafasi ya 8
msimu wa 2014/2015 tulimaliza nafasi ya 16 tukimpiga man u old trafford na kumgonga liver kwao
ila kilichotupa 2015/2016 kila mtu anajua mbali na kuwapiga aston villa 6-0 magoli ma5 yakitupiwa na wijnaldum
epl haitabiriki yoyote ni bingwa, yoyote ni loser, unaweza fungwa popote unaweza shinda popote
 
Back
Top Bottom