mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wazee wa msituni!M 23.watakwambia
WakomeWazee wa msituni!
Mazembe wana project ya kujenga uwanja lkn pia Katumbi alipitia misukosuko ya kisiasa kuna kipindi alihama nchi nna uhakika watarudi kwenye ubora wako AS Vita wanauza sana wachezaji wemekua kama Ajax, Dortmund, BenificaHivi Katumbi bado anaimiliki TP Mazembe au alishafulia? maana si kwa kudorola huko kila moja anajipigia tu!!
Siasa zinammalizia hela,sku hizi hana intrerest na soka tenaHivi Katumbi bado anaimiliki TP Mazembe au alishafulia? maana si kwa kudorola huko kila moja anajipigia tu!!
Miaka michache tu iliyopita wakiwa chini ya kocha wao Ibenge, walifika mpaka fainali kombe la shirikisho. Halafu unasema hawana maajabu kwenye madhindano ya Kimataifa!!As vita hawanaga maajabu kwenye mashindano ya kimataifa (so sad to mazembe)
sio kipimo hicho lakini pia mpira wa bongo ume piga hatuaKwahiyo tukiwafunga tusiwe tunajisifu kwamba timefunga klabu bora Afrika
Sasa ushasema shirikisho/LOSERS CUP sasa kwani sasa hivi wanacheza huko??????hiyo ni CL brother, ule ushibe na ni maalumu kwa mabingwa tu.Miaka michache tu iliyopita wakiwa chini ya kocha wao Ibenge, walifika mpaka fainali kombe la shirikisho. Halafu unasema hawana maajabu kwenye madhindano ya Kimataifa!!
Simba alienda Kinshasa na kupigwa goli 5-0!
Sasa kuipiga Simba Tano na kushindwa kufuzu robo fainal ni maajabu?Huku uliyempiga akifuzu.Huo ni ujinga sio maajabu ,mwanafunzi anayepata 95 mtihani mmoja na kufeli mitihani 6 huyo ni punguwani ,nyumbu ,na amnazo.Miaka michache tu iliyopita wakiwa chini ya kocha wao Ibenge, walifika mpaka fainali kombe la shirikisho. Halafu unasema hawana maajabu kwenye madhindano ya Kimataifa!!
Simba alienda Kinshasa na kupigwa goli 5-0!
Kimafanikio hakuna timu ya bongo inamfikia AS VitaSasa kuipiga Simba Tano na kushindwa kufuzu robo fainal ni maajabu?Huku uliyempiga akifuzu.Huo ni ujinga sio maajabu ,mwanafunzi anayepata 95 mtihani mmoja na kufeli mitihani 6 huyo ni punguwani ,nyumbu ,na amnazo.