Timu za Mbeya mdebwedo sana

Timu za Mbeya mdebwedo sana

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Juzi Kengold kutoka Chunya Mbeya imepigwa goli sita kwa moja (6-1) na Yanga.

Leo hadi kipindi cha mapumziko, Prison Tanzania kutoka Mbeya imeshakandwa tatu bila (3-0) na Simba.

Hizi timu za Mbeya zimekuja ili zishuke Daraja.

Timu za Mbeya ambazo zikishawahi kushuka Daraja ni pamoja na Tukuyu Stars, Mecco, Tiger, Prisons, Mbeya City, Mbeya Kwanza na sasa hawa Kengold na Tanzania Prison hawatakiwi kabisa kwenye ligi kuu ya NBC
 
Back
Top Bottom