Mbona unajipinga mwenyewe? Au hujui, tulia nitakuelewesha.
Haya wewe unajua. Mwakani itaongezezwa timu ingine.Ingekuwa UK wanatakiwa wawe na nafasi 4 tu, kama ulivyosema. Basi mshindi wa 4 angeondelewa ili Man U achukue nafasi yake. Kama ameenda na Man U wameenda ujue hujui taratibu zake.
Acha uongo we mtu.....Watakuwa na nafasi tano
Sababu ya kuwa na nafasi tano ni nini?Watakuwa na nafasi tano
Kwanza nashindwa kuupload hapa Uefa confirmed Italy to have four team from 2017. Sasa uone kwamba uko nyuma sana ya mambo ya mpira. Mwenzako hadi academy namiliki. Kwahiyo ujitahidi sana kuleta vitu vilivyo na ithibati. Nenda google search utaambiwa kila kitu.Acha uongo we mtu.....
Umeanza lini kufuatilia soka, especially hili la Kimataifa?
Sio kweli mara nyingi tu zimekutana timu za nchi moja.Hamna makundi tena, inafuata hatua ya mtoano (16 bora).
Na ktk 16 bora timu za nchi moja haziruhusiwi kukutana!
Acha ubishi timu za nchi moja hukutana kuanzia robo fainali na kuendeleaSio kweli mara nyingi tu zimekutana timu za nchi moja.
Sio kweli hesabu zako zitakaaje hapo, ngoja tusubili mkuu.Acha ubishi timu za nchi moja hukutana kuanzia robo fainali na kuendelea
From 2017 ipi? Leo ni 07/12/2017 Italy wameshiriki ECL na timu ngapi?Kwanza nashindwa kuupload hapa Uefa confirmed Italy to have four team from 2017. Sasa uone kwamba uko nyuma sana ya mambo ya mpira. Mwenzako hadi academy namiliki. Kwahiyo ujitahidi sana kuleta vitu vilivyo na ithibati. Nenda google search utaambiwa kila kitu.
Kasome kabuni sio kupiga porojoSio kweli hesabu zako zitakaaje hapo, ngoja tusubili mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenger je?Wakiiingia Robo Fainali hapo ndio itakuwa kipimo kizur sana kwa Team za Epl Kujua Ubora wao.
Ila so far Wamejitahid ila uwepo wa makocha hawa imesaidia sana kufanya lligi iwe na ushindan kwa maana wote hao wanaangalia mafanikio ya Champions League kama kipimo tosha cha mafanikio ya Team zao.
Man City - Guadiola
Man Utd - Jose Msema ovyo
Liverpool - Klopp
Chelsea - Konte
Totenham - Pochetino
Wamerekebisha hio, bingwa anaingia as 5th team lakini kama mmechukua na Europa basi wa nne anatoka kwa sababu nchi moja haiwezi kuwa na washiriki zaidi wa watano.1. Kama bingwa wa Champions league ameshindwa hata kuchukua nafasi ya nne basi bingwa wa CL atachukua nafasi ya aliyeshika namba 4 na namba 4 ataenda Ueropa League.
Mfano: Chelsea na Tottenham 2012
2. Bingwa wa Ueropa League anaingia moja kwa moja ktk CL hata kama hajaingia top 4 au top 3 (kulingana na kiwango cha nchi yake). Kama bingwa wa Europa League hajaingia top 4 au 3 au 2 etc. basi nchi husika itaongezewa nafasi moja kwa msimu huo tu!
Mfano: Sevilla, Man. Utd
Acha uwongo, kasome tena jiridhisheWatakuwa na nafasi tano
usishupaze shingo mkuu.. watu wote humu sio mazumbukuku kuanza kupingana na wewe.Sio kweli mara nyingi tu zimekutana timu za nchi moja.
Nimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.Sio kweli hesabu zako zitakaaje hapo, ngoja tusubili mkuu.
[quote uid=133496 name="makaveli10" post=24744924]Kila kitu na wakati wake, unapoambiwa la liga ni ligi bora ina maana ndani ya misimu hii ya karibuni timu zake zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kwenye uefa zaidi ya ligi nyingine
Uingereza wamekuwa hoi kwa kipindi kirefu, labda wafanikiwe msimu huu, ambapo naona kuna dalili nzuri basi nayo itapewa hadhi hiyo..

Lakini ni mapema sana kusema hayo, huwez kuilinganisha la liga na epl kisa tu timu 5 zimepenya ukiulizwa miaka mi5 epl katka uefa na ueropa wamefanya kipi cha ajabu kumfikia la liga hakuna super cup kibao wamecheza wahispania wenyewe ndani ya miaka mi5

Kikubwa sasa timu za epl zifanye kweli, sio tuisifie ligi tu kisa kuna machama tunashbikia.[/QUOTE]kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3