kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3
[quote uid=133496 name="makaveli10" post=24744924]Kila kitu na wakati wake, unapoambiwa la liga ni ligi bora ina maana ndani ya misimu hii ya karibuni timu zake zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kwenye uefa zaidi ya ligi nyingine
Uingereza wamekuwa hoi kwa kipindi kirefu, labda wafanikiwe msimu huu, ambapo naona kuna dalili nzuri basi nayo itapewa hadhi hiyo..

Lakini ni mapema sana kusema hayo, huwez kuilinganisha la liga na epl kisa tu timu 5 zimepenya ukiulizwa miaka mi5 epl katka uefa na ueropa wamefanya kipi cha ajabu kumfikia la liga hakuna super cup kibao wamecheza wahispania wenyewe ndani ya miaka mi5

Kikubwa sasa timu za epl zifanye kweli, sio tuisifie ligi tu kisa kuna machama tunashbikia.[/QUOTE]
Real msimu huu yupo hoi timu haiekeweki keshachapwa na Spurs na La Liga yupo # 4 ......UCL msimu huu hakuna muujiza atajaoufanya hata apabgwe v Liverpool hapiti !!
Barca ? Msimu huu japo anaongoza La Liga lakini kuondoka kwa Beymar kumewaporomosha pia timu yao ipo ipo tu.....Hawa size yao Spurs tu na msimu uliopita alichofanyiwa na PSG ile mbovu kinajulikana
Sevilla ? Huyu nae tia maji tia maji
Atletico ? huyu kajichokea kabisa bora ajapambabe na Arsenal Europa
Huyu alipigwa na Chelsea kulekule Spain
Huko Bundesliga kabaki Bayern pekee ambaye nae kiwango chake nsimu huu hakieleweki
Dortmund alipigwa kata funua na Spurs nje ndani
Timu pekee ya kuwatishia Waingereza ni PSG tu
Acheni kukariri