Timu za Premier League Zaweka Rekodi....

Timu za Premier League Zaweka Rekodi....

Mbona unajipinga mwenyewe? Au hujui, tulia nitakuelewesha.
Ingekuwa UK wanatakiwa wawe na nafasi 4 tu, kama ulivyosema. Basi mshindi wa 4 angeondelewa ili Man U achukue nafasi yake. Kama ameenda na Man U wameenda ujue hujui taratibu zake.
Haya wewe unajua. Mwakani itaongezezwa timu ingine.

Watakuwa na nafasi tano
Sababu ya kuwa na nafasi tano ni nini?

Ni hivi England,Spain,Germany wanapewa nafasi nne za ECL....yaani mshindi wa bingwa,wa pili tatu na nne. Iwapo mwaka uliopita timu moja imechukua ECL au Europa na ikamaliza NJE YA TOP FOUR basi zitaenda timu tano yaani zile nne kwa mujibu wa nafasi na hii iliochukua ubingwa.

Iwapo watashinda ECL na Europa basi zitaenda TANO vile vile ila mshindi wa nne anatolewa anaenda kucheza Europa.

Acha uongo we mtu.....

Umeanza lini kufuatilia soka, especially hili la Kimataifa?
Kwanza nashindwa kuupload hapa Uefa confirmed Italy to have four team from 2017. Sasa uone kwamba uko nyuma sana ya mambo ya mpira. Mwenzako hadi academy namiliki. Kwahiyo ujitahidi sana kuleta vitu vilivyo na ithibati. Nenda google search utaambiwa kila kitu.

Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA

Arsenal alikuwa uch…ochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani

Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!

Kwanza nashindwa kuupload hapa Uefa confirmed Italy to have four team from 2017. Sasa uone kwamba uko nyuma sana ya mambo ya mpira. Mwenzako hadi academy namiliki. Kwahiyo ujitahidi sana kuleta vitu vilivyo na ithibati. Nenda google search utaambiwa kila kitu.
From 2017 ipi? Leo ni 07/12/2017 Italy wameshiriki ECL na timu ngapi?

Wakiiingia Robo Fainali hapo ndio itakuwa kipimo kizur sana kwa Team za Epl Kujua Ubora wao.
Ila so far Wamejitahid ila uwepo wa makocha hawa imesaidia sana kufanya lligi iwe na ushindan kwa maana wote hao wanaangalia mafanikio ya Champions League kama kipimo tosha cha mafanikio ya Team zao.
Man City - Guadiola
Man Utd - Jose Msema ovyo
Liverpool - Klopp
Chelsea - Konte
Totenham - Pochetino
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenger je?

1. Kama bingwa wa Champions league ameshindwa hata kuchukua nafasi ya nne basi bingwa wa CL atachukua nafasi ya aliyeshika namba 4 na namba 4 ataenda Ueropa League.
Mfano: Chelsea na Tottenham 2012

2. Bingwa wa Ueropa League anaingia moja kwa moja ktk CL hata kama hajaingia top 4 au top 3 (kulingana na kiwango cha nchi yake). Kama bingwa wa Europa League hajaingia top 4 au 3 au 2 etc. basi nchi husika itaongezewa nafasi moja kwa msimu huo tu!
Mfano: Sevilla, Man. Utd
Wamerekebisha hio, bingwa anaingia as 5th team lakini kama mmechukua na Europa basi wa nne anatoka kwa sababu nchi moja haiwezi kuwa na washiriki zaidi wa watano.

kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3

Sio kweli hesabu zako zitakaaje hapo, ngoja tusubili mkuu.
Nimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.
Kwahio Italy atakuwa kama England,Spain na Germany wana nafasi NNE na sio 5 automatically.

kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3
[quote uid=133496 name="makaveli10" post=24744924]Kila kitu na wakati wake, unapoambiwa la liga ni ligi bora ina maana ndani ya misimu hii ya karibuni timu zake zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kwenye uefa zaidi ya ligi nyingine
Uingereza wamekuwa hoi kwa kipindi kirefu, labda wafanikiwe msimu huu, ambapo naona kuna dalili nzuri basi nayo itapewa hadhi hiyo..

Lakini ni mapema sana kusema hayo, huwez kuilinganisha la liga na epl kisa tu timu 5 zimepenya ukiulizwa miaka mi5 epl katka uefa na ueropa wamefanya kipi cha ajabu kumfikia la liga hakuna super cup kibao wamecheza wahispania wenyewe ndani ya miaka mi5

Kikubwa sasa timu za epl zifanye kweli, sio tuisifie ligi tu kisa kuna machama tunashbikia.[/QUOTE]

Real msimu huu yupo hoi timu haiekeweki keshachapwa na Spurs na La Liga yupo # 4 ......UCL msimu huu hakuna muujiza atajaoufanya hata apabgwe v Liverpool hapiti !!

Barca ? Msimu huu japo anaongoza La Liga lakini kuondoka kwa Beymar kumewaporomosha pia timu yao ipo ipo tu.....Hawa size yao Spurs tu na msimu uliopita alichofanyiwa na PSG ile mbovu kinajulikana

Sevilla ? Huyu nae tia maji tia maji

Atletico ? huyu kajichokea kabisa bora ajapambabe na Arsenal Europa

Huyu alipigwa na Chelsea kulekule Spain
Huko Bundesliga kabaki Bayern pekee ambaye nae kiwango chake nsimu huu hakieleweki

Dortmund alipigwa kata funua na Spurs nje ndani

Timu pekee ya kuwatishia Waingereza ni PSG tu

Acheni kukariri

Back
Top Bottom