Unajua tunapenda kubishana, kwa kuwa kila kitu tumegeuza ccm na cdm. Tukiweza kutenganisha siasa na mambo mengine tutasonga mbele. Nakuambia tena Robo finally UK wakiingiza timu nne ujue wanaongezewa nafasi moja. Amini maneno yangu.Nimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.
Kwahio Italy atakuwa kama England,Spain na Germany wana nafasi NNE na sio 5 automatically.
Akina Benfica miyeyushoNimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.
Kwahio Italy atakuwa kama England,Spain na Germany wana nafasi NNE na sio 5 automatically.
Unataka kututia nyongo tutibuke, Arsenal ameingiaje tena humu? Ebu tuache na mambo yetu.Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA
Arsenal alikuwa uch…ochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani
Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!
Ok kwahio zitakuwa TANO, vipi na hao Spain,Germany nao wakiingiza timu ngapi wataongezewa nafasi?Unajua tunapenda kubishana, kwa kuwa kila kitu tumegeuza ccm na cdm. Tukiweza kutenganisha siasa na mambo mengine tutasonga mbele. Nakuambia tena Robo finally UK wakiingiza timu nne ujue wanaongezewa nafasi moja. Amini maneno yangu.
Muhenga huyo hawekwi kwenye list[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenger je?
Duh, umeamua kushambulia poa haina noma. Kwa hilo siwezi pinga, tunaudhaifu mkubwa sana. Lakini Mungu ana makusudi yake, acha tupitie njia ya Man U.Hawa Arsenal si ndio wangesababisha timu nne zisifike robo fainali? Au hujui wao mwisho ni last 16?
Warusi wapambanaji hatua ya makundi hawajatoka kibwege ila Wareno aibu tupu .....Porto ndio tegemeo laoTatu....Ureno mbili...si umeona Benfica kapigwa mechi zote kundi la Man utd....!
Hawa Arsenal si ndio wangesababisha timu nne zisifike robo fainali? Au hujui wao mwisho ni last 16?
Labda Wenger asiwepoDuh, umeamua kushambulia poa haina noma. Kwa hilo siwezi pinga, tunaudhaifu mkubwa sana. Lakini Mungu ana makusudi yake, acha tupitie njia ya Man U.
Mkuu suala la timu za nchi moja, kupangwa pamoja kwenye 16 bora likoje? Linanichanganya kidogo.Tatu....Ureno mbili...si umeona Benfica kapigwa mechi zote kundi la Man utd....!
Amekwambia yeye anamilik academy so anajua kila kitu....!!usishupaze shingo mkuu.. watu wote humu sio mazumbukuku kuanza kupingana na wewe.
hatua ya 16 bora team za nchi Moja haziwezi kukutana. ila kuanzia robo huko fresh
Draw ni Jumatatu 11/12/2017kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3
Hilo nalifahamu, kwakuwa tulikuwa tunaanza na vitimu vya kishenzi shenzi tu. Aaaah kwahiyo hilo halipo tena, hapo good.Gullam kilichobadilika kwenye CL 2018-21 sio timu kuongezwa kwa England,Germany na Spain. Ni utaratibu tu kwenye qualificatio.
Utaratibu mpya ni kuwa mshindi wa Europa league ataenda moja kwa moja hatua ya makundi ya CL. Kingine ni kuwa timu zote nne kutoka England,Germany na Spain zitaenda moja kwa moja kwenye makundi, hapo awali ilikuwa ni lazima ziingie kwenye round ya mwisho ya qualifiers kama mshabiki wa Arsenal unalijua hilo vizuri.
Teams from the same group or the same association cannot be drawn against each other.Mkuu suala la timu za nchi moja, kupangwa pamoja kwenye 16 bora likoje? Linanichanganya kidogo.
Sawa sawa kabisa...na hii inafanya timu unazoweza kukutana nazo ziwe chache sana....imagine umemaliza mshindi kwenye group lako halafu inabidi ukutane na washindi wa pili makundi mengine mmojawapo Real Madrid, Bayern!Teams from the same group or the same association cannot be drawn against each other.
Germany 3Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.