Timu za Premier League Zaweka Rekodi....

Nimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.
Kwahio Italy atakuwa kama England,Spain na Germany wana nafasi NNE na sio 5 automatically.
Unajua tunapenda kubishana, kwa kuwa kila kitu tumegeuza ccm na cdm. Tukiweza kutenganisha siasa na mambo mengine tutasonga mbele. Nakuambia tena Robo finally UK wakiingiza timu nne ujue wanaongezewa nafasi moja. Amini maneno yangu.
 
Akina Benfica miyeyusho
Urusi atakuwa na nafasi ngapi ?
 
Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA

Arsenal alikuwa uch…ochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani

Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!
Unataka kututia nyongo tutibuke, Arsenal ameingiaje tena humu? Ebu tuache na mambo yetu.
 
Unajua tunapenda kubishana, kwa kuwa kila kitu tumegeuza ccm na cdm. Tukiweza kutenganisha siasa na mambo mengine tutasonga mbele. Nakuambia tena Robo finally UK wakiingiza timu nne ujue wanaongezewa nafasi moja. Amini maneno yangu.
Ok kwahio zitakuwa TANO, vipi na hao Spain,Germany nao wakiingiza timu ngapi wataongezewa nafasi?
 
Unataka kututia nyongo tutibuke, Arsenal ameingiaje tena humu? Ebu tuache na mambo yetu.
Hawa Arsenal si ndio wangesababisha timu nne zisifike robo fainali? Au hujui wao mwisho ni last 16?
 
Duh, umeamua kushambulia poa haina noma. Kwa hilo siwezi pinga, tunaudhaifu mkubwa sana. Lakini Mungu ana makusudi yake, acha tupitie njia ya Man U.
 
Tatu....Ureno mbili...si umeona Benfica kapigwa mechi zote kundi la Man utd....!
Warusi wapambanaji hatua ya makundi hawajatoka kibwege ila Wareno aibu tupu .....Porto ndio tegemeo lao

Halafu naona ndani ya misimu 2-3 Wataliano wataporwa nafasi na kurudi kulekule maana akina Inter na Ac Milan wapo hoi bado hawataweza kupambana UCL
 
Hawa Arsenal si ndio wangesababisha timu nne zisifike robo fainali? Au hujui wao mwisho ni last 16?

Duh, umeamua kushambulia poa haina noma. Kwa hilo siwezi pinga, tunaudhaifu mkubwa sana. Lakini Mungu ana makusudi yake, acha tupitie njia ya Man U.
Labda Wenger asiwepo
Zero tactics misimu yote UCL
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tatu....Ureno mbili...si umeona Benfica kapigwa mechi zote kundi la Man utd....!
Mkuu suala la timu za nchi moja, kupangwa pamoja kwenye 16 bora likoje? Linanichanganya kidogo.
 
usishupaze shingo mkuu.. watu wote humu sio mazumbukuku kuanza kupingana na wewe.

hatua ya 16 bora team za nchi Moja haziwezi kukutana. ila kuanzia robo huko fresh
Amekwambia yeye anamilik academy so anajua kila kitu....!!

Ukimwambia leta ushahidi anakwambia anashindwa ku upload so nenda mwenyewe Google search ukapate kila kitu.... hahahahahaa

Mmiliki wa Academy bhanaaa..!!!
 
Gullam kilichobadilika kwenye CL 2018-21 sio timu kuongezwa kwa England,Germany na Spain. Ni utaratibu tu kwenye qualificatio.
Utaratibu mpya ni kuwa mshindi wa Europa league ataenda moja kwa moja hatua ya makundi ya CL. Kingine ni kuwa timu zote nne kutoka England,Germany na Spain zitaenda moja kwa moja kwenye makundi, hapo awali ilikuwa ni lazima ziingie kwenye round ya mwisho ya qualifiers kama mshabiki wa Arsenal unalijua hilo vizuri.

Evolution of UEFA club competitions from 2018
 
Mkuu suala la timu za nchi moja, kupangwa pamoja kwenye 16 bora likoje? Linanichanganya kidogo.
16 bora huwa wanazitenganisha...ila kuanzia robo fainali wanaacha mkikutana kazi kwenu.
 
kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3
Draw ni Jumatatu 11/12/2017

11/12/17: Round of 16 draw
13–14/02/18 and 20–21/02/18: Round of 16, first leg
06–07/03/18 and 13–14/03/18: Round of 16, second leg

16/03/18: Quarter-final draw
03–04/04/18: Quarter-finals, first leg
10–11/04/18: Quarter-finals, second leg

13/04/18: Semi-final and final draw
24–25/04/18: Semi-finals, first leg
01–02/05/18: Semi-finals, second leg

26/05/18: Final (NSK Olimpiyski, Kyiv)
 
Gullam kilichobadilika kwenye CL 2018-21 sio timu kuongezwa kwa England,Germany na Spain. Ni utaratibu tu kwenye qualificatio.
Utaratibu mpya ni kuwa mshindi wa Europa league ataenda moja kwa moja hatua ya makundi ya CL. Kingine ni kuwa timu zote nne kutoka England,Germany na Spain zitaenda moja kwa moja kwenye makundi, hapo awali ilikuwa ni lazima ziingie kwenye round ya mwisho ya qualifiers kama mshabiki wa Arsenal unalijua hilo vizuri.
Hilo nalifahamu, kwakuwa tulikuwa tunaanza na vitimu vya kishenzi shenzi tu. Aaaah kwahiyo hilo halipo tena, hapo good.
 
Mkuu suala la timu za nchi moja, kupangwa pamoja kwenye 16 bora likoje? Linanichanganya kidogo.
Teams from the same group or the same association cannot be drawn against each other.
 
Sawa sawa kabisa...na hii inafanya timu unazoweza kukutana nazo ziwe chache sana....imagine umemaliza mshindi kwenye group lako halafu inabidi ukutane na washindi wa pili makundi mengine mmojawapo Real Madrid, Bayern!
 
Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.
Germany 3
 
Back
Top Bottom