Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Unajua tunapenda kubishana, kwa kuwa kila kitu tumegeuza ccm na cdm. Tukiweza kutenganisha siasa na mambo mengine tutasonga mbele. Nakuambia tena Robo finally UK wakiingiza timu nne ujue wanaongezewa nafasi moja. Amini maneno yangu.Nimeona unachoongea. Uko sahihi ITALY wameongezewa nafasi moja 2018/19 wakati Portugal wamepoteza hio nafasi, na Russia wameongezewa.
Kwahio Italy atakuwa kama England,Spain na Germany wana nafasi NNE na sio 5 automatically.