Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
 
Ukiona hadi Uganda na Burundi, nchi tulizo na ukaribu nazo sana zinajitoa basi ujue kuna shida mahali.

Mapinduzi yasherehekewe kwa michezo ya beach, waongeze ubunifu, waweke mzigo na waachane na kutafuta shortcut.

Michezo ya beach ni kama surfing, beach soccer, volleyball na beach wrestling. Wakijikita huko wanaweza kuwa na moja ya matukio makubwa ya kiutalii kila mwaka.
 
Kama shida ni gharama...taasisi husika ingetafuta funds za kugharamia team zinazokuja mwisho wa siku million 100 iwe kweli ni zawadi na sio reimbursement ya gharama ulizotumia...halafu hapo bila kusahau million 100 sio za wote..
 
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Shida kubalance...

...Ni hayo tu!!
 
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
CCM aibu iwe kwao.
 
Watu warudi nbc tuu mambo yaishe
 
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Akili zilizotumika kuandaa mashindano hayo zinaweza zisiyafute
 
Yakheeee! Ngoja nikapige makachu mie maana mpira wapinzani waingia mtini
 
Back
Top Bottom