Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Somalia wachukue hiyo nafasi
 
Kilimanjaro stars nao watakuwa mbioni kujitoa
 
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso

Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Tatizo siasa ndo imeleta shida. Kama simba na yanga wametingwa c wangezipa nafasi timu zingene kama azam, singida, coastal zishiriki hyo michuano...
 
Haya mashindano yangeanza na kumalizika kwa mchezo wa fainali Kati ya Tanganyika na Zanzibar...Huwezi Kuota Timu za Taifa Kwa 100M
 
Kwanini wasiyatumie haya mashindano kuinua vipaji vipya vya soka kwa kuanzisha kitu kama ndondo cup?

Timu kadhaa zigombanie huko mitaani kushiriki, zitakazofuzu zipewe hii airtime ya Mapinduzi cup na zawadi ya M100.
 
Wawe wabunifu, sio lazima soka tu, kama ni soka watengeneze kama ndondo cup wachezaji wa ligi kuu wasihusike, ingenoga tu, kuna watu wapo kwenye ndondo ni mafundi balaa.

ccm hawajawahi kuwa na akili mkuu
 
Back
Top Bottom