Mwaka jana kulikuwa na kupanga matokeo ili timu ya Zanzibar ishinde. Nchi 2 wakasema hawatashiriki tena>Timu 4 sasa wataendesha kwa mfumo gani...Nusu fainali kwenda fainali au [emoji23]
Huku TFF walisimamisha Ligi kwa miezi miwili
Shida kubalance...Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso
Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
CCM aibu iwe kwao.Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso
Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Watu warudi nbc tuu mambo yaisheZikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso
Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia
Akili zilizotumika kuandaa mashindano hayo zinaweza zisiyafuteZikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burukina Faso
Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu zinasusia