Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

Somalia wachukue hiyo nafasi
 
Kilimanjaro stars nao watakuwa mbioni kujitoa
 
Tatizo siasa ndo imeleta shida. Kama simba na yanga wametingwa c wangezipa nafasi timu zingene kama azam, singida, coastal zishiriki hyo michuano...
 
Haya mashindano yangeanza na kumalizika kwa mchezo wa fainali Kati ya Tanganyika na Zanzibar...Huwezi Kuota Timu za Taifa Kwa 100M
 
Kwanini wasiyatumie haya mashindano kuinua vipaji vipya vya soka kwa kuanzisha kitu kama ndondo cup?

Timu kadhaa zigombanie huko mitaani kushiriki, zitakazofuzu zipewe hii airtime ya Mapinduzi cup na zawadi ya M100.
 
Wawe wabunifu, sio lazima soka tu, kama ni soka watengeneze kama ndondo cup wachezaji wa ligi kuu wasihusike, ingenoga tu, kuna watu wapo kwenye ndondo ni mafundi balaa.

ccm hawajawahi kuwa na akili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…