Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mchezaji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamfikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye lakini nashangaa Sana wanakuja kina Skudu....
Ina maana timu zetu hazimuoni huyu Jamaa??
Wasimfikirie wakati ndo aliewapa penalty USM algers fainali na kusababisha kadi Tele Kwa Yanga?Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Hawajamfikiria! Nilimwona kwenye mchezo ule uliojaa moshi na mabaruti, hakuwa mchezaji wa kutisha sana. Hata ile penalty waliyopewa ilikuwa ya mchongo wa kujiangusha makusudi tu, ndiyo maana haikugusa nyavu.Wasimfikirie wakati ndo aliewapa penalty USM algers fainali na kusababisha kadi Tele Kwa Yanga?
Labda useme dau
Na wewe unaamini mtu mwenye akili timamu anaweza kupokelewa airport na mtu ambaye si Mwenyekiti wake?Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Ilitangazwa hivyo. Issue ya Usajiri wa Ngoma nilikuwa naifahamu vizuri sana baada ya scout wa Yanga kutompendekeza kwa vile angekuwa kama Morrison tu, yaani mcheazji mzurim asiyetumia muda sana uwanjani. Ndiyo maana wakampa pass, lakini tukangaziwa kuwa alidakwa airportNa wewe unaamini mtu mwenye akili timamu anaweza kupokelewa airport na mtu ambaye si Mwenyekiti wake?
hakuna mchezaji mule hata nashangaa why jamaa anacheza timu kama wydad!!!Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye lakini nashangaa Sana wanakuja kina Skudu....
Ina maana timu zetu hazimuoni huyu Jamaa??
Sawa, kwasababu wachezaji wote waliowahi kupita Simba ni Yanga ndio ilianza kuwaona kwanza. Maana hata Mbuyi Twite si Simba iliyoanza kumuona, na Yanga haijawahi kuintercept usajiri wa mchezaji yeyote aliyewahi kutakiwa na Simba. UTOPOLO MNAJISAHAULISHA SANA.Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Mwananchi huyo kaeleza ukweli ulivyo.Na wewe unaamini mtu mwenye akili timamu anaweza kupokelewa airport na mtu ambaye si Mwenyekiti wake?
yanga wanapata ugumu kusajili sababu walizoea kuangalia wachezaji waliocheza dhidi 5a Simba kimataifa. safari hii na wao walikuwa mashindanoni hivyo walikosa wasaa wa kufatilia hao wachezaji.Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Walikua wnaasajili wale walioifunga Simba...mwaka huu wamekosa ankara?.yanga wanapata ugumu kusajili sababu walizoea kuangalia wachezaji waliocheza dhidi 5a Simba kimataifa. safari hii na wao walikuwa mashindanoni hivyo walikosa wasaa wa kufatilia hao wachezaji.
Cc.Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
mzigo wake mrefu sana huyu hatuweziNilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu.
Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?