Timu za Tanzania hazimuoni Tumisang Orebonye?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu.

Screenshot 2023-07-20 113616.png

Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?
 
Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye lakini nashangaa Sana wanakuja kina Skudu....
Ina maana timu zetu hazimuoni huyu Jamaa??
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mchezaji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamfikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
 
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Wasimfikirie wakati ndo aliewapa penalty USM algers fainali na kusababisha kadi Tele Kwa Yanga?
Labda useme dau
 
Hawajamfikiria! Nilimwona kwenye mchezo ule uliojaa moshi na mabaruti, hakuwa mchezaji wa kutisha sana. Hata ile penalty waliyopewa ilikuwa ya mchongo wa kujiangusha makusudi tu, ndiyo maana haikugusa nyavu.
 
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Na wewe unaamini mtu mwenye akili timamu anaweza kupokelewa airport na mtu ambaye si Mwenyekiti wake?
 
Ilitangazwa hivyo. Issue ya Usajiri wa Ngoma nilikuwa naifahamu vizuri sana baada ya scout wa Yanga kutompendekeza kwa vile angekuwa kama Morrison tu, yaani mcheazji mzurim asiyetumia muda sana uwanjani. Ndiyo maana wakampa pass, lakini tukangaziwa kuwa alidakwa airport
 
soka letu lina njia zake za kufanya tofauti na inavopaswa kufanywa
 
Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye lakini nashangaa Sana wanakuja kina Skudu....
Ina maana timu zetu hazimuoni huyu Jamaa??
hakuna mchezaji mule hata nashangaa why jamaa anacheza timu kama wydad!!!
 
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Sawa, kwasababu wachezaji wote waliowahi kupita Simba ni Yanga ndio ilianza kuwaona kwanza. Maana hata Mbuyi Twite si Simba iliyoanza kumuona, na Yanga haijawahi kuintercept usajiri wa mchezaji yeyote aliyewahi kutakiwa na Simba. UTOPOLO MNAJISAHAULISHA SANA.
 
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
yanga wanapata ugumu kusajili sababu walizoea kuangalia wachezaji waliocheza dhidi 5a Simba kimataifa. safari hii na wao walikuwa mashindanoni hivyo walikosa wasaa wa kufatilia hao wachezaji.
 
Yanga wana maajenti wengi wa scouting barani Afrika, na huenda hawajahi kumfikiria mcheazji huo. Simba hivizia kusikia fununu Yanga wanataka kumsajiri nani ndipo wanamkimbilia kumdaka airport. Mpaka Yanga wamafikirie ndipo mchezaji huyo aingie kwenye rada za Tanzania, usihangaike naye kabla ya Yanga kutaja jina lake.
Cc.
GENTAMYCIME
 
Back
Top Bottom