Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Haji Manara hajaacha tu ule uduwanzi wake wa kuchekea chooni utopolo wakikandwaTrue. Mbumbumbu yupo chooni anacheka.
Siyo ku defence ni ku defendHamna goli la kumlaumu Metacha, goli la kwanza mabeki walizembea kwenye kufanya kukaba, mawili kaunta. Yanga kafungwa sababu aliingia na style ya kudefence kwa kumiliki mpira, kweli mpira yanga kwenye umiliki kaongoza ila upande wa defense hakuwa makini hasa kwenye mipira ya kaunta attack.
Metacha hana cha kulaumiwa hata Manula nae zile tano hastahili lawama, ni ugoigoi wa mabeki na viungo wenu.
tunakubali tulifingwaHamna goli la kumlaumu Metacha, goli la kwanza mabeki walizembea kwenye kufanya kukaba, mawili kaunta. Yanga kafungwa sababu aliingia na style ya kudefence kwa kumiliki mpira, kweli mpira yanga kwenye umiliki kaongoza ila upande wa defense hakuwa makini hasa kwenye mipira ya kaunta attack.
Metacha hana cha kulaumiwa hata Manula nae zile tano hastahili lawama, ni ugoigoi wa mabeki na viungo wenu.
Kama Jana metacha karudishiwa mpira Muoga badala aanze na mabeki wake hapo kabutua nje[emoji706][emoji706]Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu
Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala hawana uwezo wa kuanzisha mashambulizi inakuwaje tunawapanga kwenye mechi za kimataifa iwe ligi au timu ya Taifa
Hawa magolikipa sijawahi kuwaona hata wakiipanga safu yao ya ulinzi,Wamekaa kama mapazia tu
Nikimuangalia Djui Diarra wa mali jinsi anavyo organize timu na nikiwaangalia Manula na Metacha huwa naishia kucheka tu