Timu za Tanzania na magolikipa Mapazia (Metacha na Manula)

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
639
Reaction score
1,919
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu

Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala hawana uwezo wa kuanzisha mashambulizi inakuwaje tunawapanga kwenye mechi za kimataifa iwe ligi au timu ya Taifa

Hawa magolikipa sijawahi kuwaona hata wakiipanga safu yao ya ulinzi,Wamekaa kama mapazia tu

Nikimuangalia Djui Diarra wa mali jinsi anavyo organize timu na nikiwaangalia Manula na Metacha huwa naishia kucheka tu
 
Hamna goli la kumlaumu Metacha, goli la kwanza mabeki walizembea kwenye kufanya kukaba, mawili kaunta. Yanga kafungwa sababu aliingia na style ya kudefence kwa kumiliki mpira, kweli mpira yanga kwenye umiliki kaongoza ila upande wa defense hakuwa makini hasa kwenye mipira ya kaunta attack.

Metacha hana cha kulaumiwa hata Manula nae zile tano hastahili lawama, ni ugoigoi wa mabeki na viungo wenu.
 
True. Mbumbumbu yupo chooni anacheka.
Haji Manara hajaacha tu ule uduwanzi wake wa kuchekea chooni utopolo wakikandwa
IMG-20231028-WA0000.jpg
 
Hamna goli la kumlaumu Metacha, goli la kwanza mabeki walizembea kwenye kufanya kukaba, mawili kaunta. Yanga kafungwa sababu aliingia na style ya kudefence kwa kumiliki mpira, kweli mpira yanga kwenye umiliki kaongoza ila upande wa defense hakuwa makini hasa kwenye mipira ya kaunta attack.

Metacha hana cha kulaumiwa hata Manula nae zile tano hastahili lawama, ni ugoigoi wa mabeki na viungo wenu.
Siyo ku defence ni ku defend
 
Sio makipa tu hata wachezaji wa kibongo wandani wengi Vimeo hawajui ni wakat Gani mtu utoe pasi na umpasie nani wao wanachojua ni kugusa mpira tu
 
Diara anaumwa au? tumewapa watani cha kusema kwa masaa kadhaa, mwenyenzi Mungu tufanyie wepesi dk 90+ baada ya leo saa kumi jion score board ile levelled ili nchi itulie tuendelee na mambo mengine.
 
Hamna goli la kumlaumu Metacha, goli la kwanza mabeki walizembea kwenye kufanya kukaba, mawili kaunta. Yanga kafungwa sababu aliingia na style ya kudefence kwa kumiliki mpira, kweli mpira yanga kwenye umiliki kaongoza ila upande wa defense hakuwa makini hasa kwenye mipira ya kaunta attack.

Metacha hana cha kulaumiwa hata Manula nae zile tano hastahili lawama, ni ugoigoi wa mabeki na viungo wenu.
tunakubali tulifingwa
 
Ni kweli Diara anamzifu Manula,ila ni golikipa gani mzawa ana mzidi Manula?! Labda yule mzungu Kawaw ngoja tusubiri!
 
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu

Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala hawana uwezo wa kuanzisha mashambulizi inakuwaje tunawapanga kwenye mechi za kimataifa iwe ligi au timu ya Taifa

Hawa magolikipa sijawahi kuwaona hata wakiipanga safu yao ya ulinzi,Wamekaa kama mapazia tu

Nikimuangalia Djui Diarra wa mali jinsi anavyo organize timu na nikiwaangalia Manula na Metacha huwa naishia kucheka tu
Kama Jana metacha karudishiwa mpira Muoga badala aanze na mabeki wake hapo kabutua nje[emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom