Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu
Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala hawana uwezo wa kuanzisha mashambulizi inakuwaje tunawapanga kwenye mechi za kimataifa iwe ligi au timu ya Taifa
Hawa magolikipa sijawahi kuwaona hata wakiipanga safu yao ya ulinzi,Wamekaa kama mapazia tu
Nikimuangalia Djui Diarra wa mali jinsi anavyo organize timu na nikiwaangalia Manula na Metacha huwa naishia kucheka tu