Ni mabigwa..Madrid ni Freemasons
MakochaBinafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid.
Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA.
Madrid wameingia kwenye mchezo tactically, hawakuwa na haraka na walikuwa wanafanya mashambulizi ya akili.
Tukutane hapa tulioumia kwa UTOPOLO ambayo haina hata Experience ya kimataifa na viwango, yet wametupiga kimoja ; hapo hapo Madrid ambayo haina kiwango cha maana wametupiga kimoja.
Je, tunakalalalaje?
Angekua chelsea leo, pangewaka mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Chelsea tu akifika Final anakuwa Serious
Au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu za uingereza wanachokiweza ni kussuport ushoga tu uwanjani wanabinua binua viuno na makalio
Chelsea wasingefungwa kijinga wale wasingecheza mpira mwingu wangekuwa wanalinda sanaAngekua chelsea leo, pangewaka mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]