Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Binafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid.
Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA.
Real Madrid wameingia kwenye mchezo tactically, hawakuwa na haraka na walikuwa wanafanya mashambulizi ya akili.
Tukutane hapa tulioumia kwa UTOPOLO ambayo haina hata Experience ya kimataifa na viwango, yet wametupiga kimoja ; hapohapo Madrid ambayo haina kiwango cha maana wametupiga kimoja.
Je, tunalalaje?