Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

Timu ambazo ziliwekwa ili kufanya majaribio na kuingizia CAF pesa ni..
Simba
Enyimba
Tp mazembe
p.Atletico..., Asante kwa kushiriki vibonde wa Bonanza la AFL.
 
Nusu na fainali ya caf ya 2023-2024 wataingiaa hao hao tenaa hakuna wakuwapingaaa..
 
Kuna timu nyingine kiwango chake cha juu kabisa cha kufikia kwenye mashindano ni robo fainali tu. Hivyo kwa namna yoyote ile zisingeweza kufuzu hiyo hatua ya nusu fainali.
Aahaaa

Mpaka unaweza kuwaonea huruma
 
Timu ambazo ziliwekwa ili kufanya majaribio na kuingizia CAF pesa ni..
Simba
Enyimba
Tp mazembe
p.Atletico..., Asante kwa kushiriki vibonde wa Bonanza la AFL.
Na wamezichota kweli

Visit Rwanda kamwaga pesa nyingi sana
 
Kutoa mchezaji Mazembe sio rahisi kama unavyo dhani, Meshak Elia Al Ahly walifika 6B ya kibongo Mazembe wakachomoa huyo Kinzumbi sio chini ya 2B,
kwa pancha hizo alizonazo?? hapana, kila mara ni majeruhi
 
Kwahiyo?ulitaka waingie wote?
 
2024
Al ahly
Yanga
Esperence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…