Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaKuna timu nyingine kiwango chake cha juu kabisa cha kufikia kwenye mashindano ni robo fainali tu. Hivyo kwa namna yoyote ile zisingeweza kufuzu hiyo hatua ya nusu fainali.
Na wamezichota kweliTimu ambazo ziliwekwa ili kufanya majaribio na kuingizia CAF pesa ni..
Simba
Enyimba
Tp mazembe
p.Atletico..., Asante kwa kushiriki vibonde wa Bonanza la AFL.
kwa pancha hizo alizonazo?? hapana, kila mara ni majeruhiKutoa mchezaji Mazembe sio rahisi kama unavyo dhani, Meshak Elia Al Ahly walifika 6B ya kibongo Mazembe wakachomoa huyo Kinzumbi sio chini ya 2B,
Sina uhakika na hilokwa pancha hizo alizonazo?? hapana, kila mara ni majeruhi
Kwahiyo?ulitaka waingie wote?Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023
Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI
nusu fainali ya super league AFL mwaka 2023 timu zilizofuzu ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI
hakuna timu mpya
Kwahiyo?ulitaka waingie wote?
Injinia au GSM?Injinia tuletee kinzumbi
2024Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023
Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI