Timu zilizokuwa zinapeleka ofa mezani Yanga SC sasa zitakwenda Simba SC kuwania saini ya Saidoo Ntibazonkiza

Timu zilizokuwa zinapeleka ofa mezani Yanga SC sasa zitakwenda Simba SC kuwania saini ya Saidoo Ntibazonkiza

Tatiizo kikongwe hata afunge Gori 100 Kila mechi watu watachungulia wakiona aged wanakimbia
 
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.

Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).

NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.

Nawasilisha hoja.
hakuna timu itakuja kwa saido kwa huo umri wake labda kmc
 
CV ya Saido ni kubwa mno, ukilinganisha na Mayele au mchezaji yeyote NBC league. Saido kwenye umri wa miaka 36 sasa hivi anamalizia football career yake Tanzania. Akitoka hapa kwetu atarejea kwao Burundi. Ameshacheza ligi kubwa duniani ikiwemo ligi kuu Ufaransa, amecheza UEFA champions league, amecheza uarabuni.
Hapo kwenye UEFA niache kwanza
 
Naona utpolo baada ya kujambishwa jana leo mko hoi bwana enu mpqka anaondoka bongo itakuwa kituko cha karne misimu miwili mfululizo anaongoza kwa ufungaji wa magoli halafu mwishoni anapokwa na wenzake
 
Coastal hawez kukubali kucheza playoff kisa mtu mmoja achukue kiatu.

Lazima wawakazie.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] bado unamuota Ntiba...
Huamini ile mijigoli ni yake..ila ukikumbuka kabla hajaja Simba alikua na goli zake 7 hivi...akapiga hatrick akiwa Simba yakawa 10...akapiga hamsa yakawa 15...bado akili haijakubali tuu..
Magoli 10 baada kutua Simba.
magoli 3 mechi ya kwanza round ya 16
magoli 5 mechi ya 14 round ya 29
magoli 2 mechi ya 15 round ya 30
Round ya 17 mpaka 28 =12 rounds, hola ( kapa).
Haya magoli 7 ya mwisho yana harufu ya mchongo.
 
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.

Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).

NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.

Nawasilisha hoja.
Haya mnaanza kujimwambafayi wakati hamna kitu?! Hivi nyie makolo mkoje, yaan mnatafuta visingizio tu ilimradi mjione mnakitu[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom