Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Tatiizo kikongwe hata afunge Gori 100 Kila mechi watu watachungulia wakiona aged wanakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ivo saidi ni wa kawaida tuuTatiizo kikongwe hata afunge Gori 100 Kila mechi watu watachungulia wakiona aged wanakimbia
hakuna timu itakuja kwa saido kwa huo umri wake labda kmc
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
Hapo kwenye UEFA niache kwanzaCV ya Saido ni kubwa mno, ukilinganisha na Mayele au mchezaji yeyote NBC league. Saido kwenye umri wa miaka 36 sasa hivi anamalizia football career yake Tanzania. Akitoka hapa kwetu atarejea kwao Burundi. Ameshacheza ligi kubwa duniani ikiwemo ligi kuu Ufaransa, amecheza UEFA champions league, amecheza uarabuni.
Kutushotta😆😆😆Hapo kwenye UEFA niache kwanza
Kwan wanaocheza mpira wanapanga matokeo!! Acha izo bana magoli ni upambanaji wala sio kuoneana hurumaCoastal hawez kukubali kucheza playoff kisa mtu mmoja achukue kiatu.
Lazima wawakazie.
Hahaha hahaha! Mkuu haituumi lakin inatusononesha, kwanza hatuna mpango naeNtibazonkiza anawauma sana gongowazi.
Okay vizuri.Naona utpolo baada ya kujambishwa jana leo mko hoi bwana enu mpqka anaondoka bongo itakuwa kituko cha karne misimu miwili mfululizo anaongoza kwa ufungaji wa magoli halafu mwishoni anapokwa na wenzake
Kwa lipiNtibazonkiza anawauma sana gongowazi.
Alosema wanapanga ni nani?Kwan wanaocheza mpira wanapanga matokeo!! Acha izo bana magoli ni upambanaji wala sio kuoneana huruma
Magoli 10 baada kutua Simba.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] bado unamuota Ntiba...
Huamini ile mijigoli ni yake..ila ukikumbuka kabla hajaja Simba alikua na goli zake 7 hivi...akapiga hatrick akiwa Simba yakawa 10...akapiga hamsa yakawa 15...bado akili haijakubali tuu..
Haya mnaanza kujimwambafayi wakati hamna kitu?! Hivi nyie makolo mkoje, yaan mnatafuta visingizio tu ilimradi mjione mnakitu[emoji41][emoji41]
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
Wewe apoAlosema wanapanga ni nani?
🔥🔥🔥🔥Mohamed Hussein kuelekea bondeni?