MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu!
Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais wa CAF nao wamekuja na maharage day, ambapo wanaonrkana wakiburudika kwa wali maharage, Je hii ni kusema ukosefu wa ubunifu au kuiga iga? Ina maana wameshindwa kuiga jinsi ya kutwaa vikombe?
Tumezoea kuona Yanga wakifanya hizi karamu baada ya kunyakua makombe mfano Ligi kuu, FA au ngao ya jamii, au kutinga makundi club bingwa, Sasa hivi vilabu bado havina mafanikio yoyote, ndiyo kwanza wanashiriki michuano hafifu, havina uhakika hata wa medali au kombe japo Ligi kuu, Lakini vinaiga wenzake pasipo kujua sababu ya wao kufanya hivyo😀 Badala kujikita kupata mafanikio kwanza ili siku moja nao wacheze club bingwa kama Yanga, au wafike fainali za CAF wenyewe wamejikita kula wali maharage kabla hawajapata mafanikio yoyote 😀
Soma Pia:
Vilabu vingine navyo bila kuja na ubunifu wao, wanaiga tu kwa kuja na style hiyo hiyo ya mgeni rasmi 😀
HUU NI USHAMBA

- Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema
- Mashabiki wa Yanga Kagera wapiga supu wakiisubiri Kagera Sugar kesho mchezo wa Ligi kuu