Timu zingine kuiga 'Supu day' na majina ya wachezaji mechi za kimataifa ni kukosa ubunifu?

Supu nayo ni kitu cha kuiga?watu wanakunywa kila siku baada ya hangover.
 
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu!

Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais wa CAF nao wamekuja na maharage day, ambapo wanaonrkana wakiburudika kwa wali maharage, Je hii ni kusema ukosefu wa ubunifu au kuiga iga? Ina maana wameshindwa kuiga jinsi ya kutwaa vikombe?

Tumezoea kuona Yanga wakifanya hizi karamu baada ya kunyakua makombe mfano Ligi kuu, FA au ngao ya jamii, au kutinga makundi club bingwa, Sasa hivi vilabu bado havina mafanikio yoyote, ndiyo kwanza wanashiriki michuano hafifu, havina uhakika hata wa medali au kombe japo Ligi kuu, Lakini vinaiga wenzake pasipo kujua sababu ya wao kufanya hivyo๐Ÿ˜€ Badala kujikita kupata mafanikio kwanza ili siku moja nao wacheze club bingwa kama Yanga, au wafike fainali za CAF wenyewe wamejikita kula wali maharage kabla hawajapata mafanikio yoyote ๐Ÿ˜€

Soma Pia:
Yanga walikuja na kampeni ya heshima kwa wachezaji kwa kuipa michezo ya kimataifa majina ya wachezaji, mfano Max day, Pacome day, Aziz ki day, Bacca day n.k.

Vilabu vingine navyo bila kuja na ubunifu wao, wanaiga tu kwa kuja na style hiyo hiyo ya mgeni rasmi ๐Ÿ˜€

HUU NI USHAMBA

View attachment 3101127View attachment 3101128View attachment 3101129
Baada ya kuwa na simba day yanga wakaja na wiki ya mwananchi, je yanga aliiga kwa simba?
 
Ila kuoga Simba Day/week sawa?!

Ubwabwa ndondo day.
 
Mbumbumbu wame copy and paste
 
Back
Top Bottom