MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
- Thread starter
-
- #21
Yanga ni kaka yake Simba kiumri, sasa hapo nani anamuiga mwenzake? Yupi katangulia kuona jua πUtopolo sijui ni watu wa kumbukumbu ndogo... Simba wakitaka waje na hoja ya kuigwa na nyie si seva za JF zitajaa?
Wiki ya mwananchi ilishakuwepo kitambo sana, Mlimani vinapelekwa Vikombe sio fulana kolo wwSimba day uligundua ww..? Kutangaza uzi juu mliman kilimanjaro uligundua chura kiziwi wewe..?
Sawa mkuuUsimba na uyanga ni aina nyingine ya kuwa na ugonjwa wa akili,,,,,
π
Kawaida hauwezi kuta shabiki wa Nguvu mbili akawa timamu na heshima mtaaniKwenye hiyo picha ya chini kushoto huyo bwana mwenye midevu ni daktari wa binadamu.
Aliiacha kazi kazi yake ni uchawa hapo simba kuzunguka na timu mikoa yote ni chawa pro max.
Huyo jamaa ukimlaza sero hamalizi masaa 24 anatoka
Ana pesa na magali ila kazi yake ya kueleweka haijulikani
Inasemekana ni mtu wa eagle wings njiwa njiwa logo
Shida ilianzia kushabikia Nguvu mbili dishi lazima liyumbe πUmeandika kitoto sana ila hakuna namna lasaba mko mtaani
Shida ilianzia kushabikia Nguvu mbili dishi lazima liyumbeUmeandika kitoto sana ila hakuna namna lasaba mko mtaani
Wiki ya mwananchi ilishakuwepo kitambo sana, Yanga inacheza na viatu vya mkoloni tokea 1930 Simba hata haijazaliwa bado π1.Simba ndo Klabu ya kwanza kuanzisha Simba day. Na nyie pimbi mkaja kuiga kwa kuleta Wiki ya Mwananchi.
2.Simba ndo klabu ya kwanza kucheza ikiwa imevaa jezi na viatu. Gongowazi na Kandambili mkaja kuiga baadae.
Mtoa mada bado mtoto mdogo muacheni akue.Utopolo sijui ni watu wa kumbukumbu ndogo... Simba wakitaka waje na hoja ya kuigwa na nyie si seva za JF zitajaa?
Shida yako ilianzia ulipoamua kushabikia nguvu mbili, automatically unazaliwa bila akiliπ jitahidi usionyeshe ukolo wakoMwl. aliyekufundisha mwandiko wakati uko shule akiona huu utopolo ulioandika atajiuzulu mara maja.
Eti Kombe lisilojulikana hivi Wewe unajua kanuni za mpira au mpira unaujua wewe ? Hilo kombe lisilojulikana ndio limekufanya utoke nafasi ya 80 mpaka ya 13 kwenye rank za vilabu barani Africa.Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais wa CAF nao wamekuja na maharage day, ambapo wanaonrkana wakiburudika kwa wali maharage, Je hii ni kusema ukosefu wa ubunifu au kuiga iga? Ina maana wameshindwa kuiga jinsi ya kutwaa vikombe?
Wali rage wanakula vilaza wa mpira πSupu wanakunywa wagonjwa
Jikite shirikisho kiongozi, unaweza kuambulia chochoteMtoa mada bado mtoto mdogo muacheni akue.
Sio kuambulia chochote, sema utabeba ubingwa wa shirikishoJikite shirikisho kiongozi, unaweza kuambulia chochote
Jikite shirikisho kiongozi, unaweza kuambulia chochoMtoa mada bado mtoto mdogo muacheni akue.
Shida ilianzia Nguruwe fc walipofanya uchawi dhidi ya orlando pale bondeni, alafu bila yanga hiyo ni Ndondo cup ndiyo maana Motsepe hayatambuiEti Kombe lisilojulikana hivi Wewe unajua kanuni za mpira au mpira unaujua wewe ? Hilo kombe lisilojulikana ndio limekufanya utoke nafasi ya 80 mpaka ya 13 kwenye rank za vilabu barani Africa.
Akili zako ni tope na wewe mwenyewe ni Shabiki maandazi tu. Yaani wewe ni takataka
MwananchiOG
Tuanze na medali kwanza, mvuke hatua ya kuitwa robo kilo fcSio kuambulia chochote, sema utabeba ubingwa wa shirikisho
Imezama kunako hiyo.Jifunze kiswahili kwanza.
Hujui kitu wewe ni Shabiki maandazi tu. Unalidharau kombe la shirikisho wakati ndio lililokusogeza kwenye rank za juuJikite shirikisho kiongozi, unaweza kuambulia chocho
Shida ilianzia Nguruwe fc walipofanya uchawi dhidi ya orlando pale bondeni, alafu bila yanga hiyo ni Ndondo cup ndiyo maana Motsepe hayatambui
Acha uongo.....weka ushahidiWiki ya mwananchi ilishakuwepo kitambo sana
Medali bila kombe ni hirizi tuTuanze na medali kwanza, mvuke hatua ya kuitwa robo kilo fc
Kitambo huko kwa machura sio πππ utopolo ni utopolo tu.Wiki ya mwananchi ilishakuwepo kitambo sana, Mlimani vinapelekwa Vikombe sio fulana kolo ww