Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

Hiyo ya kurudi nyuma na kushusha vioo ni Mimi kabisa. Tinted kioo Cha mbele siweki kabisa
 
Tinted za kimarekani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji24][emoji23]
 
Ukweli ni kwamba haya ndiyo niliyogundua baada ya kuitumia.... point hizo hapo kwenye starred** uko sahihi, nilikua na mnyama wangu subie kila nikitoka NRB kuelekea WND inakuwa mateso bila chuki namimi ni mwendo wa nocturnal tu ndio safari zangu, ...kama unavosema uzoefu wa njia ila nilishwahi kuparamia fisi, na kukwepa jiwe la ngamia barabarani Narok
 
Wala wake za watu na watu wa mademu ndo wanaongoza kutembea na magari ya tinted.

Ila watakatifu hawana shida
mwanangu V8 langu nililitoa tinted full kujiachia na raha sana ukiwa barabarani' full kuona nature ukiwa safarini jua likipiga sana upande usioutaka unaweka zile stickable curtians
 
Yaani unafuatiliwa na haya haya magari aliyokalia mjapani na kujambiwa na mzungu kabla hawajayaship bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…