Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

Unaweza kuta wenyewe wanayo miwani maalumu ya kuendesha usiku, tatizo wabongo tunapenda kuiga kila kitu. Kioo cha mbele tinted inawekwa kama utepe kwa juu kukinga jua. Kuweka tinted kioo kizima cha mbele halafu uhangaike kukodoa macho usiku ni uzwazwa.....
 
Kwhy huu uzi ni wa wenye magari tu??

Hv wenzetu mnafanya kazi gani had mnamiliki magari??

Maan mie kila nikipambana napigwa nockout tu,sina hat uwezo wa kumiliki hiko kioo cha tinted.

Mungu anijalie na mm nipate rizki ya kumiliki mkoko wangu km nyinyi[emoji120]
Mkuu nashauri ubadili kwanza ID yako kabla ya yote,Utakuja kunishukuru baadae.
 
ZIle American Tinted z8nazouzwa kwenye madukana zile zingine za kawaida ambazo zinzuzwa kwenye viboksi siyo za kuweka kioo cha mbele.
Nimesha wahi kutumia ila usiku lazima ufungue kioo, tena usiombe iwe usiku na mvua inanyesha
emoji851.png
emoji851.png
emoji41.png

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app

Gari bila tinted inakuwa kama kabati la vyombo
Muda mwingine unakuwaga na akili!
 
Unaweza kuta wenyewe wanayo miwani maalumu ya kuendesha usiku, tatizo wabongo tunapenda kuiga kila kitu. Kioo cha mbele tinted inawekwa kama utepe kwa juu kukinga jua. Kuweka tinted kioo kizima cha mbele halafu uhangaike kukodoa macho usiku ni uzwazwa.....
Tashwishwi kweli lakini ni kuvumilia tu
 
Back
Top Bottom