Zinaitwaje hizo?Wanaoweka tint vioo vya mbele hawaweki huo uchafu unaitwa american tinted, kuna special tint za kuweka kioo cha mbele gharama yake kwa kioo cha mbele siyo chini ya 80,000 tzs, mimi nimeweka na ninaona vizuri tuu usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinaitwaje hizo?Wanaoweka tint vioo vya mbele hawaweki huo uchafu unaitwa american tinted, kuna special tint za kuweka kioo cha mbele gharama yake kwa kioo cha mbele siyo chini ya 80,000 tzs, mimi nimeweka na ninaona vizuri tuu usiku
Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi!
Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu wa tinted huwa unaonekana!
Tinted ni kilevi kama vilevi vingine visivyolewesha!
Kupenda kunywa Pepsi baridi ni kilevi lakini hakileweshi, kunywa energy drink ni kilevi lakini hakileweshi, kungalia tamthilia ni kilevi lakini hakileweshi, kuangalia mizigo ni kilevi lakini hakileweshi n.k
Kupenda kutumia tinted ni kilevi pia! Ukizoea huwezi kufurahia gari isiyo kuwa na tinted kwani utajiona kama umekaa kibarazani!
Zamani tulizoea kuweka tinted za vioo vya pembeni lakini sasa teknolojia inazidi kukua!
Hivi sasa kuna ingizo jipya almaarufu American tinted!
American tinted wamekuja na tinted ya kioo cha mbele ambacho inadaiwa ukiwa ndani ya gari unaona fresh kabisa!
Mimi ni miongoni mwa watu waliovutiwa kujaribu kuishuhudia American tinted ya kioo cha mbele aina ya 4M!
Ukweli ni kwamba haya ndiyo niliyogundua baada ya kuitumia.
KIUFUPI AMERICAN TINTED YA MBELE IMETAWALIWA NA UVUMILIVU!
- American tinted ya kioo cha mbele mchana unaona vizuri kama kawaida lakini usiku inafifia
- Usiku inahitaji umakini mkubwa kuona vitu ambavyo havina taa au non reflecting object
- Usiku ukiona mtu anakwenda mbio na tinted ya mbele tambua anatumia uzoefu wa njia (kaikariri njia la sivyo kukiwa na mabadiliko ya njia either ya tuta jipya mbele lazima aliparamie kwa surprise)
- Kukiwa na mvua au ukungu ni mwendo wa kunyata tu kwaweli
- Usiku tunazuga hatuna haraka lakini ukweli ni kwamba hatuoni vizuri
- Kuhama njia kwenye two way traffic boda boda wanatukana sana maana sometimes siyo rahisi kuwaona!
Ni nzuri lakini moyoni tunateseka kimya kimya lakini tunavumilia hivyo hivyo!
Tinted ya mbele ni kuvumilia tu!
Siyo kwamba naiponda tinted ya mbele hapana, naipenda lakini starehe yake inahitaji uvumilivu tu katika majira na nyakati!
View attachment 2582037View attachment 2582038
Zinaitwaje hizo?
But can lower the visibility!Window tinting serves several purposes. Here are a few common uses of window tint:
1. Heat and UV Ray Reduction: Tinted windows can help reduce the amount of heat and harmful ultraviolet (UV) rays entering a vehicle making the interior more comfortable and protecting against sun damage.
2. Glare Reduction: Window tinting can minimize glare from sunlight, headlights, and other bright sources, improving visibility and reducing eyestrain.
3. Privacy and Security: Tinted windows provide increased privacy by limiting the view into a vehicle or building. They also make it more difficult for potential thieves to see valuable items inside.
4. Energy Efficiency: By reducing heat transfer through windows, tinting can help lower cooling costs in buildings and decrease the workload on air conditioning systems.
5. Aesthetics and Style: Window tinting can enhance the appearance of vehicles and buildings, giving them a sleek and sophisticated look.
It's worth noting that regulations regarding window tinting vary by jurisdiction, so it's essential to comply with local laws and regulations when considering window tinting for your vehicle or property.
But can lower the visibility!
si wanunue bastolavioo vyeusi ama tinted hizi zilizoeleka sana kwa magari ya VIP nchi za wenzetu lakini pia mbali na kufanya aliyepo ndani ya gari watu wa nje wasimuone inasaidia pia kupunguza mionzi au mwanga wa jua ndani ya gari.
Kama nilivyosema faida zake 2 nazozifahamu ni hizo ila hii ya kuweka kioo cha mbele wind screen kiukweli ni hatari maana kama ulivyosema kuona ni shida.Ila pia kuweka tinted sana nayo ni hatari maana wajamaa wakikuvizia ndani ya gari umekwisha.Hakuna atayekuona japo muda mwingine pia huondoa usumbufu wa aliyeko nje kuweza jua nani yupo ndani ya gari hasa hawa dada zetu kuonewa na vibaka maana wakijua ni wadada huwaibia.
vioo vyeusi ama tinted hizi zilizoeleka sana kwa magari ya VIP nchi za wenzetu lakini pia mbali na kufanya aliyepo ndani ya gari watu wa nje wasimuone inasaidia pia kupunguza mionzi au mwanga wa jua ndani ya gari.
Kama nilivyosema faida zake 2 nazozifahamu ni hizo ila hii ya kuweka kioo cha mbele wind screen kiukweli ni hatari maana kama ulivyosema kuona ni shida.Ila pia kuweka tinted sana nayo ni hatari maana wajamaa wakikuvizia ndani ya gari umekwisha.Hakuna atayekuona japo muda mwingine pia huondoa usumbufu wa aliyeko nje kuweza jua nani yupo ndani ya gari hasa hawa dada zetu kuonewa na vibaka maana wakijua ni wadada huwaibia.
Pastola siyo kila mmoja anaweza miliki au uwezo wa kuwa nayo. maana inamliolongo mrefu wa kumiliki wanavyosema. Pia akili ya mtu kuruhusiwa kumiliki.si wanunue bastola
😄😄😄sasa si uyabandue umelazimishwa? huoni vzr umeng'ang'ana tu
ununue gari ushinde pistol 3mPastola siyo kila mmoja anaweza miliki au uwezo wa kuwa nayo. maana inamliolongo mrefu wa kumiliki wanavyosema. Pia akili ya mtu kuruhusiwa kumiliki.
Sawasasa si uyabandue umelazimishwa? huoni vzr umeng'ang'ana tu
📌🔨🔨Wala wake za watu na watu wa mademu ndo wanaongoza kutembea na magari ya tinted.
Ila watakatifu hawana shida
Nano Ceramic Hiyo, Wengi Wanaobwabwaja Wameweka bila Kufanya UtafitiWanaoweka tint vioo vya mbele hawaweki huo uchafu unaitwa american tinted, kuna special tint za kuweka kioo cha mbele gharama yake kwa kioo cha mbele siyo chini ya 80,000 tzs, mimi nimeweka na ninaona vizuri tuu usiku
Hi Ndio Comment Niliyokua Nikiitafuta, Umemaliza Kila Kitu4M/ Nano ceramic hii ndio kiboko kwa kioo cha mbele.