Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

Ustaarabu wa kule na huku kwetu unatofautiana may be! Na vinara na waanzilishi wa tinted ni viongozi wetu wametufundisha kujificha
Sielewi kabisa gari ya shirika/taasisi ya umma inawekwa "tinted" ili iweje!!???
 
Juzikati nlishawishika kuweka hii American tinted na kuitoa ya zamani, doooh!

Ni balaa, ilivyofika usiku sio taabu tu, ni balaa na hatari sana,
Nimelazimika kukata sehemu za Side mirrors ili niweze kuona vyema nyuma, maana kusema ukweli ikifika usiku uoni unakuwa hafifu mnoooo na kwa barabara za mijini ambako bodaboda ni wengi na wanakatiza kila upande tena kwa kushtukiza, unaweza jikuta na majanga makuu very soon....

Kioo cha mbele, mweka tinted mwenyewe alinionya nisiiweke full, niweke sehem ya juu tu kuzuia mwanga wa jua kali, baaas

Sijui kama kuna wanaoiweka hii tinted vioo vyote na kiitumia vyema nyakati zote, ila, naona watakuwa wanatumia tu uzoefu wa barabara
 
Tusio na magari hii tunaruhusiwa kuchangia?

Mi huwa naendesha gari ya jamaa yangu tinted yake usiku inanipa changamoto sana nchana fresh usiku hapana

Ila sasa sio mtaalamu ile tinted sijui ndo America au Russian tinted
Sijui
 
Wamo humu vichwa ngumu
 
Maana kwenye nchi nyingi magari yenye tint ni ya serikali pekee, tena tint ni vioo vya abiria tu.
Ila Tz Tint hadi kioo cha mbele
Ushubwada promax
 
Kuweka kioo cha mbele (windshield) ni kosa?
 
Nitaweka tinted zote sio hiyo ya mbele
 
Kule wana self respect na hawafatilian , ila bongo nyoso umbea mwing umeweka tuu Tinted mtu anakazan kuptsha macho ndan ya Gari [emoji1783][emoji1783]
Tunaongez privacy ZETU
Hawafuatiliani wakati Diana, alikufa kwa ajari wakati anawakimbia wadakuzi.
 
Wanaoweka tinted kioo cha mbele wengi wao wanapenda kufanya sex kwenye gari.
 
Wanaoweka tint vioo vya mbele hawaweki huo uchafu unaitwa american tinted, kuna special tint za kuweka kioo cha mbele gharama yake kwa kioo cha mbele siyo chini ya 80,000 tzs, mimi nimeweka na ninaona vizuri tuu usiku
 
Mkipanda au kuendesha bodaboda hywa mnaweka tinted?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…