Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Tibaijuka ndo kasaini IPTL?Lowasa ajipange kisaikolojia...
Anna Tibaijuka ajiandae kiphysikia
Chenge ajiandae kiswahilikia
Escro&co wajiandae kihistorikia
PANDORA BOX ndo linafunguliwa?Wanabodi.
Nimepokea tetesi from deep inside kuwa kuna kesi nyingine 8 za ufisadi ambazo uchunguzi umekamilika na sasa ziko mezani kwa DPP zikisubiri kibali cha kupelekwa mahakamani.
Hili ni bandiko la ile jf advantage, be the first to know kuwa baada ya James Rugemalila na Habinder Sing kupandishwa kizimbani, uchunguzi kuhusu kesi nyingine 8 za ufisadi mkubwa zimekamilika hivyo soon kuna Vigogo wengine wakubwa watapandishwa kizimbani.
Source: A reliable tip from deep inside!.
Hata hivyo source hiyo from deep inside haikusema kesi hizo nane ni kesi zipi za ufisadi upi na wala ni vigogo gani hao watakao pandishwa kizimbani, ni kina nani na wamefanya nini!.
Naomba msiniulize lolote kuhusu hiyo reliable source from deep inside kwa mujibu wa kanuni ya kihabari iitwayo "the confidentiality of the source".
Umuhimu wa tip hii ni kukupatia tuu info wewe mwana jf be the first to know kwa kuwa wa kwanza kujua. Information is power, kitendo cha kujua kuna kesi kubwa 9 za ufisadi mkubwa ni power kubwa ya uthibitisho. kuwa serikali ya Magufuli iko very serious katika vita hii ya ufisadi na haitanii!.
My Take.
Msihamanike sana kudhania sasa ndio ile mikesi yote ya ufisadi mkubwa itaibuliwa. No. Kuna kesi za ufisadi za touchables na za untouchables. Zitakazo fikishwa mahakamani ni only za touchables, zile za untouchables zenyewe haziguswi!.
Pia kupandishwa kwa kesi mahakamani ni one thing thing, kushinda kesi is another na haki kutendeka is quite another thing!.
Mfano hai ni hii kesi ya kwanza kati ya hizo 9 iliyopandishwa mahakamani, serikali tayari imeishashi... kesi hata kabla kesi haijaanza kusikilizwa!.
Mhe.Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Stay tuned.
Paskali
Si kweli. Tuliona watu wakiteswa ofisi za chadema. Na hata nyumbani kwa aliyekuwa kiongozi wa chadema tena ana PhD ya kanoni za kanisa katoliki. Umesahau tukukumbushe?Obstacle ni ccm
Sasa mkuu kama hujui ni vigogo wapi na kesi zinahusu nini
Nilidhani ungevuta subira kwanza, kabla ya kuleta huu uzi humu
Ana Tibaijuka ndo kasaini IPTL?
au askofu Kilaini nae sikuhizi anasaini IPTL.
Unamfikisha Tibaijuka mahakamani kwa kosa lipi hasa in regard to IPTL?
Povu la zoazoa.Si kweli. Tuliona watu wakiteswa ofisi za chadema. Na hata nyumbani kwa aliyekuwa kiongozi wa chadema tena ana PhD ya kanoni za kanisa katoliki. Umesahau tukukumbushe?
Fikiri wameweza kudhalilisha watu wakati hawana madaraka, ukiwapa madaraka hao itakuwaje?
Post yangu uliyoijibu sijaongelea chama wala siasa, nimeongelea jinsi khulka zetu za ukatili na kutoheshimu haki za binadam tunavyoanza kuzijenga toka majumbani, tukifika mashuleni yale ya kusomea ujinga utakumbana na viboko vya walimu mpaka ujinga ukuingie, unaonesha nawe ni hali kadhalika.

Mikataba ya madini ya aliyekua mwanasheria wa wizara ya madini na mabehewa TRLKaka Paskali umenena vizuri kuhusu touchables na untouchobles. Hii nchi uhalifu wote unafanywa na wanyonge.
Na issue ya nyumba za serikali.Mv bagamoyo,richmond hizo wakipeleka mahakamani ccm wataandamana kumuunga mkono.ndio wanazisubiria kwa hamu
Kazi ipi hiyo.., ya kujiharishia...?Hawawezi hata kumgusa maana wanajua wakingusa tu kazi itaanza.
Kuna vita gani hapa?Mimi naunga mkono vita hii lakini naomba isiwe na macho.
Hivi kuna uchaguzi karibuni?Wanabodi.
Nimepokea tetesi from deep inside kuwa kuna kesi nyingine 8 za ufisadi ambazo uchunguzi umekamilika na sasa ziko mezani kwa DPP zikisubiri kibali cha kupelekwa mahakamani.
Hili ni bandiko la ile jf advantage, be the first to know kuwa baada ya James Rugemalila na Habinder Sing kupandishwa kizimbani, uchunguzi kuhusu kesi nyingine 8 za ufisadi mkubwa zimekamilika hivyo soon kuna Vigogo wengine wakubwa watapandishwa kizimbani.
Source: A reliable tip from deep inside!.
Hata hivyo source hiyo from deep inside haikusema kesi hizo nane ni kesi zipi za ufisadi upi na wala ni vigogo gani hao watakao pandishwa kizimbani, ni kina nani na wamefanya nini!.
Awali kulipandishwa uzi
TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada ...
taarifa hii TAKUKURU, inazungumzia uchunguzi, taartifa ya source wangu, inasema uchunguzi umekamilika, kesi ziko mezani kwa DPP, zinasubiri tuu uamuzi wa DPP.