Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

Lowasa ajipange kisaikolojia...

Anna Tibaijuka ajiandae kiphysikia

Chenge ajiandae kiswahilikia

Escro&co wajiandae kihistorikia
Ana Tibaijuka ndo kasaini IPTL?

au askofu Kilaini nae sikuhizi anasaini IPTL.

Unamfikisha Tibaijuka mahakamani kwa kosa lipi hasa in regard to IPTL?
 
Mimi naona mkanganyiko juu ya hizi kesi mwisho wa siku hakuna atayefungwa wanapelekwa pale Palestine hospital kufanya usafi
 
PANDORA BOX ndo linafunguliwa?
 
Obstacle ni ccm
Si kweli. Tuliona watu wakiteswa ofisi za chadema. Na hata nyumbani kwa aliyekuwa kiongozi wa chadema tena ana PhD ya kanoni za kanisa katoliki. Umesahau tukukumbushe?

Fikiri wameweza kudhalilisha watu wakati hawana madaraka, ukiwapa madaraka hao itakuwaje?

Post yangu uliyoijibu sijaongelea chama wala siasa, nimeongelea jinsi khulka zetu za ukatili na kutoheshimu haki za binadam tunavyoanza kuzijenga toka majumbani, tukifika mashuleni yale ya kusomea ujinga utakumbana na viboko vya walimu mpaka ujinga ukuingie, unaonesha nawe ni hali kadhalika.
 
Hamna ulichoelezwa mzee kama haujapewa majina ya hao majambazi na kesi zao ni gahawa tuu hii...ni sawa na picha za kihindi anakufa sterling anazaliwa mtoto anakuja kuwa sterling wa picha tena...
 
Sasa mkuu kama hujui ni vigogo wapi na kesi zinahusu nini
Nilidhani ungevuta subira kwanza, kabla ya kuleta huu uzi humu

Hamna kitu huyu ni wale wale tuu, series za usanii ni zile zile za kula zege ktk vikao...hawa wanatumwa kuja kupima upepo na kutafuta kiki....utamsikia ktk maandamano ya kuunga mkono ukagame, na then huyu huyu atakwambia pilato aheshimiwe, sijui huwezi kumuhoji !!

Last person to trust anything from.....
 
Msomi wa kitambo inakuwaje unatupa habari ambazo ni zakufikirika. Je zisipokuja?. Nakutegemea sana tupe habari zenye uhakika zaidi kaka.
 
Povu la zoazoa.
Haya maneno ni kweli na hakika:-
"kikwazo ni ccm"
 
Povu la zoazoa.
Haya maneno ni kweli na hakika:-
"kikwazo ni ccm"
 
kweli mapambano haya ya mafisadi na wahujumu uchumi hayahitaji masihara hata kidogo!
vita hii haitaji kuangalia sura ya mtu au ushawishi wake ktk jamii, hapo tutafanikiwa.

Kama vita hii itatekelezwa angalau kwa asilimia 85 basi ajenda ya ufisadi nchini itakuwa umekomeshwa.

wananchi tunataka kuona kesi hizi zinasikilizwa kwa wakati na kuamuliwa haraka angalau miezi sita tuwe tumeona matokeo sio mizengwe!!!
 
ubwabwa wa kushiba huonekana kwenye sinia,,,,

Inawezeka huenda tukashiba ,,
kwenye macho,,,,tunaona tutashiba,,,

tumboni sasa,,,,huenda kuna hamila,,,,baada ya nusu saa njaa ,,,,,
 
Bogus article full of contradictions ...cowardice ,scared to be quizzed your reliable source...sijuwi unaponaje cybercrime wewe???
 
Hivi kuna uchaguzi karibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…