Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

Mkuu Pascal kuna usanii mkubwa sana katika hizi za ufisadi. Yule Saidi Lugumi kapewa kibali na Mkuu ili "atoroke nchini" na kukimbilia nchi za nje ili kuepusha zahama la kumpandisha kizimbani ambalo pia linamhusisha yeye lugumi, partners wake mtoto maarufu wa awamu ya nne na aliyekuwa IGP Said Mwema. Je ni kweli bank accounts za Lugumi pamoja na assets zake nyingine ziko chini ya ulinzi mkubwa wa Serikali? Hizi tetesi za Lugumi kuroroka nchini kwa ruhusa ya Mkuu zimeenea sana MUJINI tena kwa waheshimwa wa ndani ya jungu kuu.

 
Thank you mkuu.
Lakini mkuu siku unamuuliza rais swali alisema Mayalla maana yake ni njaa, is it right?
 
Ha

Hakuna kesi ya untouchables. Kama kuna jinai haki lazima itendeke.
 


Mimi nasubiria kukamatwa Fisadi Papa Lowasa!
 
Asante Pascali.....nu vyema tu kwani kodi zetu zilichezewa sana.... Natamani na Balali awepo kwenye hiyo list .....
nabado zinaendelea kuchezewa tu kama hizi kesi zisizo na kichwa wala miguu mashataka na kesi za kishabiki baadae watuhumiwa wanaonekana hawana hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…