Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Habarini wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kwa ufupi kabisa binafsi nimepatwa na shahuku ya kuanzinsha kampuni yangu binafsi itakayo operate under six members as share holders of the company, nataka kuachana na swala zima la kuajiriwa, shughuli za kampuni tarajiwa ni zitakuwa ni maswala ya consultancy in the field of procurement at large,sasa basi msukumo wakuja hapa nikuomba ushauri wenu wenye tija, kwa yoyote mwenye uzoefu na jambo kama hili,naomba anipe muongozo pakuanzia nimeshaanza na Memorandum of Association.nisaidieni na vingine vipi vya muhimu vya kuanza navyo haraka.
Kingine kampuni kama hizi niambieni manufaa,hasara, vikwazo nk na nini haswa napaswa nifanye,naomba basi nawasilisha na kukaribisha maoni yenu,
ahsante.