Tips: How to start a company

Tips: How to start a company

Iceberg9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
24,893
Reaction score
47,768
Habarini wakuu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu,kwa ufupi kabisa binafsi nimepatwa na shahuku ya kuanzinsha kampuni yangu binafsi itakayo operate under six members as share holders of the company, nataka kuachana na swala zima la kuajiriwa, shughuli za kampuni tarajiwa ni zitakuwa ni maswala ya consultancy in the field of procurement at large,sasa basi msukumo wakuja hapa nikuomba ushauri wenu wenye tija, kwa yoyote mwenye uzoefu na jambo kama hili,naomba anipe muongozo pakuanzia nimeshaanza na Memorandum of Association.nisaidieni na vingine vipi vya muhimu vya kuanza navyo haraka.

Kingine kampuni kama hizi niambieni manufaa,hasara, vikwazo nk na nini haswa napaswa nifanye,naomba basi nawasilisha na kukaribisha maoni yenu,
ahsante.
 
I love your idea...na mie nilikuwa na plan kama hizo za kuanzisha IT consultancy firm na bado nafatilia hayo uliyouliza....nikimaliza research yangu nitachangia pia

Sawa sawa mkuu itapendeza sana kama tukiendelea kupeana ushauri na strategic planning za ku-run our own small business firm, pale unapo pata lolote lenye msaada litupie hapa liwe kwa manufaa ya wengine pia karibu sana,
 
Wakuu, sitaki kuamini kama watu wote humu jamvini hamna hata ka-idea kuhusu hili, watu wanaufahamu lakini mnajificha, tupeane support ili tuinue uchumi wa nchi yetu,karibuni basi mwenye idea tupia hapa tusaidiane,
 
Mkuu kuwa na subira mambo mazuri huwa hayataki haraka,ukute kuna mdau bado anapangilia mambo ili aweke mambo hadharani sasa yawezekana kuna ishu nyingi kwa hiyo ngoja tusubiri maana hata mimi nina shauku ya kujua pia.
 
Nimekusoma mkuu,hii kitu inahitaji technical know how, watakae fanyia tafiti na wakitupa majibu hapa i hope yataleta tija sana,shukrani kama tupo pamoja
 
Husika na mada hapo juu,mwenye experience aweke bayana ili tujadiri
 
I love your idea...na mie nilikuwa na plan kama hizo za kuanzisha IT consultancy firm na bado nafatilia hayo uliyouliza....nikimaliza research yangu nitachangia pia

I love your idea. Ukitaka kuanzisha IT firm tuwasiliane niwe mmoja wa shareholder ila IT background nasoma masters ya business administration
 
Idear iko vizuri, soma company act 2002, utaona kila kitu, japo umegusia suala la MOU na Articles of association na wewe umeweka kama kitu kimoja sio kweli ni vitu viwli vyenye umhimu tofauti:- MUO, itaeleza jina la kampuni, malengo, uwezo(capital), nk. wakati articles of association itaeleza jinsi kampuni itakavyodeal na indoor na outdoor mgt, yaani watu wengine ambao ni waajiriwa mgt itakuwa vipi, na mambo mengine kama winding up, ikifilisika.
 
idear iko vizuri, soma company act 2002, utaona kila kitu, japo umegusia suala la MOU na Articles of association na wewe umeweka kama kitu kimoja sio kweli ni vitu viwli vyenye umhimu tofauti:- MUO, itaeleza jina la kampuni, malengo, uwezo(capital), nk. wakati articles of association itaeleza jinsi kampuni itakavyodeal na indoor na outdoor mgt, yaani watu wengine ambao ni waajiriwa mgt itakuwa vipi, na mambo mengine kama winding up, ikifilisika.

Nimekusoma mkuu,kwa upande wetu vingi tumeshathubutu, financial background, Memorandum of Association yani MOA hilo lemeshafanyiwa kazi,Article of Association yani AOA nayo tayari na hizo zote tumesha submit kwenye mamlaka husika na kingine tayari index nos kila mmoja tumeshalifanyia kazi kwa ujumla wake,

Swala hapa ambalo linanipa shida nikifikiria nikuto kujua changamoto vikwazo zinazo kutana nazo hizi kampuni changa kwenye kuziendesha,na pia huyu nyangumi TRA ukiacha kodi wana vizingiti gani maana wanakatishaga watu tamaa kwa makadirio yao,na ninaamini ni vijana wengi sana wanapenda kuanzisha kampuni zao binafsi ila wengi wao wana hofu na hizo changamoto,hebu nyosha maelezo mkuu kama una experience ya kutosha katika uendeshaji wa hizi kampini changa.
 
Shida yako yako naona ipo kwenye operation zaidi. Msingi mkuu wa biashara yako ni mteja. Nahapo ndipo panachangamoto. Binafsi nafanya kaz za consultant . hii biashara inaitaji uwe expert kweli kweli mana kupata kaz kuna kuomba tenda lakin uikishaingia field naukaanza operarition utagundua issue sio tenda bali niunamjua nani naanayekujua anajua we ama cmpn yako inauwezo kiasi gani kiutendaji. So kwa ushauri wangu kuanzisha cmpn sio issue kabisa mana hata yeyote tu anaweza anzisha issue nikupata mteja wakumuuzia bidhaa yako ama huduma yako. So ur marketing strategies lazima iwe yauwakika.

Natabia moja ya biashara ya uconsultant inaenda kwa WoM mteja mmoja uliyemfanyia kaz vizuri atakusifia kwa mwingine then huyo mwingine atakupa kaz. So conctrate kwenge kujenga network zaid kwanza nawakujue we ninani uko wap naunaganya mini.

Pili nakushauri weka nguvu kubwa pia kwenye kujenga jina katika kutengeneza tender document hasa kwenye macmpn ya ukandarasi na consultant kachukue list yao kule CRB na ujenge client data base
 
Hivi wadau kuanzisha kampuni halafu nimepata mwekezaji toka nje ya nchi kuna utaratibu gani wa kuchukua, nitafungua account bank ambayo tutaitumia kuweka pesa huko kwajili ya kuendesha hiyo kampuni hii imekaaje wakuu
 
2015-2020, mkuu bado hukupata msaada tu?.
Nimependa uvumilivu na kuonesha haukati tamaa na wazo lako la kuanzisha Kampuni.
Kama unapesa ni bora ukatumia watoa huduma za usati upande wa biashara hasa biashara zinazoanza.
Ahsante sana
 
Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,

This time nataka kufungua na mtu ambae yupo nje ya nchi, hii kitu ni lazima niifanye boss imekua damuni naona wakati ndiyo huu
 
Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,

This time nataka kufungua na mtu ambae yupo nje ya nchi, hii kitu ni lazima niifanye boss imekua damu gani naona wakati ndiyo huu
Mkuu hongera sana,
Wewe una ndoto,maono fursa yanayoitaji kufanyiwa kazi.Hebu tuwasiliana kwa simu namba 0710323060 ili tuitimize hii ndoto kabla JPM hajaanza awamu ya pili.Usipige sasa hivi kesho from 0830 asubuhi.
 
Bado wazo langu nataka nilifanikishe, kile kipindi baadhi ya wadau walipangiwa ajira wizarani wakawa busy sana tukapungua tukabaki wachache,

This time nataka kufungua na mtu ambae yupo nje ya nchi, hii kitu ni lazima niifanye boss imekua damu gani naona wakati ndiyo huu
Nice inspiration , you motivated me . Nafurahia kuona unavopambana bila kuchoka , hongera bro.
 
Back
Top Bottom