Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Mtihani mkubwa sana huu.
 
Mbona hata wa maofisini wanajiuza kwa mabosi?.. Tabia ya mtu hataakiwa msomi vipi inakuwepo tu.

Lakini wengi wao huenda kula bata tu zile za kichuo chuo.. Sio wote wanajiuza!
Khaaaaaah hali n mbaya kwa kweli, hivi hawa wanachuo wanaojiuza sasa wanasoma ili iweje? Maan hawan na hawataki bright future lol.
 
Khaaaaaah hali n mbaya kwa kweli, hivi hawa wanachuo wanaojiuza sasa wanasoma ili iweje? Maan hawan na hawataki bright future lol.
Hiyo ni tabia ya mtu tu wengine sio kwamba ni shida bas tu anajikuta mwili unataka kufanya hvyo. Unashangaa wanafunzi huku wapo wafanyabiashara Na wanawake wenye uwezo mzur tu ila wanatafunwa na vitoto tena wakikoswa wapo tayar kumlipa men/boy for sex
 
Heeeeeh makubwa haya lol mweeeeh
 

Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…