Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Yesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.

Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
 
Yesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.

Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
uwe na dhambi usiwe na dhambi kufa koko pale pale .. usipotoshe hapo

hayo mengine nakubaliana nawe
 
Nimekupenda bure cocastic, kuanzia leo sijui nijiite pepstic au fantastic!! lipi tutaendana?

Kumbuka mimi sirubini mtu, nikapata nyongeza nampelekea mhitaji kama yatima na mjane ama mgonjwa.
 
[emoji28]Mungu alituweza sanaa kuuweka huu ugonjwa sehemu mbayaa hivii, ebu ona wale wa toto wa kidimbwi pale, fanya kama unakuja tips hivi...., kupona ni ngumu sana chief, Mungu atuongoze tu.

Kidimbwi nako ni shidaa mzee[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ngoma sii lazima ije kwa njia hiyo , upendo au karama vinaweza kufa kwa njia nyingi mno, hata kukatishwa taama tu vikafa

nyoosha mapito yako, hilo tu linatosha, hayana mengine hayana formula yeyote ya kuyakabili, yanakuja kwa njia tofaut tofaut
 
Wauze hiyo kwioooooh? Uwiiiiiiiih leo nmechukia sana aaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa kwahiyo wewe nikikuomba uniuzie utakataa? Au utanipa free?

California love
 
Nimekupenda bure cocastic, kuanzia leo sijui nijiite pepstic au fantastic!! lipi tutaendana?

Kumbuka mimi sirubini mtu, nikapata nyongeza nampelekea mhitaji kama yatima na mjane ama mgonjwa.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiii chukua hii [emoji116][emoji116]
@novidastic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na dogo langu la kike akiomba pesa hta kama sina ntakopa nmtumieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora ufanye hivyo upunguze lawama mkuu, hata siku inatokea la kutokea we ulishatimiza wajibu, hawa wadogo zetu shida hawajui kuridhika na hali zao.
 
Uso tyuuh kwan? Had mwili ukawa una vibrate km nmepigwa short aliyosingiziwa mercy mukandara. Uwiiiiiiiih lol
πŸ˜‚πŸ˜‚aiseeee! ukome sasa, acha watu waufaidi mji.
 
Aaaah luvieeeh wee mwenyewe unajua navopenda pesa? Ila zako sio za wazee. Uwiiiiiiiiiiih [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaah sawa sawa , ntajitahid kukuhonga

California love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…