Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Lol kuchagua hiyo vepeeeeh? Yaan mie maisha ya wanafunzi wa chuo yamenishinda tena hasa hapa jijini akuuuuh.
😅 Utawaambia nini sasa hapo wakati wenzako wanaona maisha washayapatia. Kashanunuliwa Iphone za makumbusho, chumba kapangiwa sinza, weekend yupo tips, kuna nini tena hapo???
 
[emoji28] Utawaambia nini sasa hapo wakati wenzako wanaona maisha washayapatia. Kashanunuliwa Iphone za makumbusho, chumba kapangiwa sinza, weekend yupo tips, kuna nini tena hapo???
Uwiiiiiiiih nina rafiki zangu wawili ndio maisha yao yapo hivyo, afu vibopa wao wenyewe wanaonesha kabisa Luku ipo mwilin, yaan mbaya zaidi na chuon wanao wavulan wengne [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mji mzito huu mpwa, ile "orodha" ni ngumu sana kuiepuka, maisha mazuri yanawaponza sana dada zetu.
 
[emoji28] Utawaambia nini sasa hapo wakati wenzako wanaona maisha washayapatia. Kashanunuliwa Iphone za makumbusho, chumba kapangiwa sinza, weekend yupo tips, kuna nini tena hapo???

Watoto kama watoto wapo pale asee uwiii tutapona kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mji mzito huu mpwa, ile "orodha" ni ngumu sana kuiepuka, maisha mazuri yanawaponza sana dada zetu.
Hapana sometimes na hawa wazee wajitambue, hizo pesa zao wanunue vyakula na matunda au wakanywee pombe, kwan lazima wawarubuni watoto teenager? Aaaah wanakera bhana khaaaah.
 
[emoji3][emoji3]Kwani hizo pesa wana shikishwa kwa lazima mkuu??
 
Hata km ifike mahali hawa wazee wawe na busara na hofu ya Mungu, hizo pesa zao hazina thamani kuliko utu wa watoto hawa teenager, wanachosha kwakweli hali n mbaya kabisaa wao muda wao umeisha wawpishe wengine wafurahie wakati wao. Kila mtu ashinde match zake ama neneeeh, damon lol
 
Khaaaaaah hali n mbaya kwa kweli, hivi hawa wanachuo wanaojiuza sasa wanasoma ili iweje? Maan hawan na hawataki bright future lol.
Aaaah acha wauzeeee

California love
 
Hata km ifike mahali hawa wazee wawe na busara na hofu ya Mungu, hizo pesa zao hazina thamani kuliko utu wa watoto hawa teenager, wanachosha kwakweli hali n mbaya kabisaa wao muda wao umeisha wawpishe wengine wafurahie wakati wao. Kila mtu ashinde match zake ama neneeeh, damon lol
cocastic Hivi unafikiri hao mabinti wanajutia wanachokifanya?? Trust me they're living their best life ever, wanaenjoy wanachokifanya tena thubutu ujifanye kuwajuajua uanze kupreach, utajua hujui 😂😂😂
 
Back
Top Bottom