Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #21
Kama kuna ukuta uliochoka au unaoelekea kuanguka hakikisha unaondoshwa au kubomolewa kabla haujaleta madhara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🔨🔨🔨Usalama wa kwanza ni chakula, hakikisha una chakula cha kutosha kwenye stoo yako, hili ni muhimu sana. Jingine(Kwa wenye nyumba zao) hakikisha una maji ya kutosha kwenye Tanks zako za maji halafu pia hakikisha una maji ya kisima, hakikisha pia una idea kuhusu umeme mfano kufunga soketi za umeme, kujua main switch Nini nk. Kwa usalama wako na familia yako hakikisha una pesa benki, kwenye laini za simu na nyumbani pia kuwe na chimbo lako la kuweka pesa na mwisho hakikisha nyumba yako hasa ndani kumepangika vizuri sana na kusiwe na makorokoro mengi. Zingatia haya utakuja kunishukuru pakitokea Sintofahamu kadhaa.
HaahaaKataa ndoa kwa mwanaume ili uishi maisha marefu na yenye furaha hapa duniani.
Bwanga langu huwa linabaki chino🤣Hii sio kwa ajil ya joto
Hii ni kwa ajili self defence
Tuzungumzie hapo kwenye kupangika unamaanisha niniUsalama wa kwanza ni chakula, hakikisha una chakula cha kutosha kwenye stoo yako, hili ni muhimu sana. Jingine(Kwa wenye nyumba zao) hakikisha una maji ya kutosha kwenye Tanks zako za maji halafu pia hakikisha una maji ya kisima, hakikisha pia una idea kuhusu umeme mfano kufunga soketi za umeme, kujua main switch Nini nk. Kwa usalama wako na familia yako hakikisha una pesa benki, kwenye laini za simu na nyumbani pia kuwe na chimbo lako la kuweka pesa na mwisho hakikisha nyumba yako hasa ndani kumepangika vizuri sana na kusiwe na makorokoro mengi. Zingatia haya utakuja kunishukuru pakitokea Sintofahamu kadhaa.
Haahaa baba mzima unaanzaje kuukimbia uwanja wako mkuu?Hakikisha unajua kukimbia,endapo ukifukuzwa na vibaka
Mkuu,kubali kuwa mnyonge kuokoa uhai wako .Haahaa baba mzima unaanzaje kuukimbia uwanja wako mkuu?
🤣🤣Mkuu,kubali kuwa mnyonge kuokoa uhai wako .
mkuu bila shaka unaogopa kuporwa shemeji yetu🤣kweli lakn kuna men zinajua kuimbisha sio masiharaHakikisha usiwazoeze marafiki zako Kuja kwako sana kama Umeoa!
Dah mkuu nilikua napora mademu za watu kipindi miaka fulani 🤣ndio maana staki mazoeamkuu bila shaka unaogopa kuporwa shemeji yetu🤣kweli lakn kuna men zinajua kuimbisha sio masihara
Kama una swimming pool hakikisha ina uzio kuepusha majanga kwa watoto na yeyote mwingine..Katika uzi huu tupia dondoo mbalimbali za kiusalama za kuzingatia katika mazingira ya nyumbani.
- Usilale na mitungi ya gesi ndani, tafuta sehemu nje ya nyumba uweke huko.
-Usiache nyaya za umeme zikiwa uchi, si salama.
- Weka vitu vyenye ncha kali kama visu, misumari, spoke, mbao au mabati yaliyotumika n.k kunakohusika, mfano kisu kikae jikoni, gereji au stoo.
- Hakikisha kuna mlango wa dharura unaokuwezesha kutoka kwenye matukio ya dharura kama moto, wizi nk.
- Hakikisha watoto wadogo (kama wapo) wanakuwa na uangalizi wa mtu mzima au mwenye uelewa kuweza kufuatilia nyendo zao na kuwaepusha na mienendo hatarishi.
- Hakikisha unakuwa na uelewa wa watu wanaofika hapo nyumbani kwako. Kumbuka kuwa mara nyingi wezi/majambazi wanakuwa sio watu wa mbali bali ni watu wanaopafahamu hapo kwako na aghalabu wanaweza kuwa wanashinda hapo kwako.
-Hakikisha unawafahamu wanaofanya kazi mbalimbali hapo kwako na kujiridhisha ninwatu safi. Hawa ni kama mafundi ujenzi, mafundi TV, mafundi wa matenki, mafundi bomba n.k.
- Kama kuna mashimo makubwa yaliyo wazi hakikisha yanazibwa ili watu wasitumbukie humo au kuwa mazalia au maficho ya wadudu hatarishi kama nyoka, mijusi n.k.
Tuendeleze kupeana tips wakuu....
Hapa shemeji akizingua lazma kielewekeKama una breeds hatari za mbwa UA tu..
Kama unamiliki mguu wa kuku take a good care of it...isiachwe hovyo hadi kufikiwa na watoto