Tips ndogondogo za usalama uwapo nyumbani kwako

Kama kuna ukuta uliochoka au unaoelekea kuanguka hakikisha unaondoshwa au kubomolewa kabla haujaleta madhara.
 
🔨🔨🔨
 
Hakikisha unakuwa na sehemu moja inayoeleweka ya kuweka funguo zote za akiba na uweke apo tu
 
Tuzungumzie hapo kwenye kupangika unamaanisha nini
 
Kama una vijana au watoto hakikisha marafiki zao (kama wapo) wanaendana kiumri au rika na hao vijana wako maana kama wakipishana sana hapo lazma mmoja atakuwa mtumwa wa mwenzake.
 
Kama una swimming pool hakikisha ina uzio kuepusha majanga kwa watoto na yeyote mwingine..
 
Kama una breeds hatari za mbwa UA tu..
Kama unamiliki mguu wa kuku take a good care of it...isiachwe hovyo hadi kufikiwa na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…