Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto yako ikiisha utaamkaMimi binafsi ni malengo niliyojiwekea na maisha ninayotaka kuishi kwenye ndoa.
Nilisema
1. Sioi bila kuwa na kwangu
2. Sikai kwenye nyumba ya kupanga, either nizeekee nyumbani kwa wazazi ama niwe na kwangu.
3. Sitaki mtoto wa nje ya ndoa.
4. Sioi nikiwa bado nimeajiriwa.
5. Nikioa ni spend muda mrefu na mzuri na familia yangu badala ya kuamka kila siku kukimbizana kutafuta hela ya kula na kodi.
Hayo ni ma sharti niliyojiwekea yaliyo shape maisha yangu.
Thank God nimetoka kwenye ajira na nina kampuni yangu. Najenga nyumba ya ghorofa na inakaribia kuisha.
Hayo masharti ndiyo yamenisukuma kufika hapa nilipo. Hope kabla ya uchaguzi 2020 nitakuwa ndani ya ndoa.
Wewe ambaye umeamka una nini ambacho sitokipata kesho? Una nini ambacho sikipati now?Ndoto yako ikiisha utaamka
Wenye kampuni sio watu wakujitapatapa ivyoWewe ambaye umeamka una nini ambacho sitokipata kesho? Una nini ambacho sikipati now?
Wewe kaa na maisha yako na mipango yako, mimi nipo na maisha yangu na mipango yangu.
Tusitishane bwana... Ebo eti "Ndoto yako ikiisha utaamka"
Endelea kubwabwajaWenye kampuni sio watu wakujitapatapa ivyo
Kwahio sasa hivi umeatoka kwenye ajira, una kampuni na bado uko kwa wazazi unamalizia ghorofa?!Mimi binafsi ni malengo niliyojiwekea na maisha ninayotaka kuishi kwenye ndoa.
Nilisema
1. Sioi bila kuwa na kwangu
2. Sikai kwenye nyumba ya kupanga, either nizeekee nyumbani kwa wazazi ama niwe na kwangu.
3. Sitaki mtoto wa nje ya ndoa.
4. Sioi nikiwa bado nimeajiriwa.
5. Nikioa ni spend muda mrefu na mzuri na familia yangu badala ya kuamka kila siku kukimbizana kutafuta hela ya kula na kodi.
Hayo ni ma sharti niliyojiwekea yaliyo shape maisha yangu.
Thank God nimetoka kwenye ajira na nina kampuni yangu. Najenga nyumba ya ghorofa na inakaribia kuisha.
Hayo masharti ndiyo yamenisukuma kufika hapa nilipo. Hope kabla ya uchaguzi 2020 nitakuwa ndani ya ndoa.
Ukifika miaka 30 utasema acha nimalizie nyumba ukimaloza nyumba utakuja na sijapata nnaemtaka nk nk nk hamadiii umekua field marshall kama RRONDO hahha lolWatu wa naogopa kuoa ni kwa ajili ya kukwepa majukumu
Binafsi sioi mpaka nifike miaka 30 hayo ndyo malengo yangu
Sababu ya kitoto ndoa ni zaidi ya xx...u hv 24 hrs a day kwa siku mkifanya sanaaa haizidi 3 hrs umri unavozidi haitazidi half an hourUpatikanaji wa papuchi umekuwa rahisi sana tofauti na zamani
Hongera...girlfriend unae?.mana isijekua unasubiri hadi bungaloww liishepoMimi binafsi ni malengo niliyojiwekea na maisha ninayotaka kuishi kwenye ndoa.
Nilisema
1. Sioi bila kuwa na kwangu
2. Sikai kwenye nyumba ya kupanga, either nizeekee nyumbani kwa wazazi ama niwe na kwangu.
3. Sitaki mtoto wa nje ya ndoa.
4. Sioi nikiwa bado nimeajiriwa.
5. Nikioa ni spend muda mrefu na mzuri na familia yangu badala ya kuamka kila siku kukimbizana kutafuta hela ya kula na kodi.
Hayo ni ma sharti niliyojiwekea yaliyo shape maisha yangu.
Thank God nimetoka kwenye ajira na nina kampuni yangu. Najenga nyumba ya ghorofa na inakaribia kuisha.
Hayo masharti ndiyo yamenisukuma kufika hapa nilipo. Hope kabla ya uchaguzi 2020 nitakuwa ndani ya ndoa.
HahahaSi umeninyima mdogo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoto yako ikiisha utaamka
Brother hongera umejibu over my mind big upukweli ni kwamba wengi tunaogopa. Na hii nikutokana na kuwa kwenye mahusiano na watu ambao hawatutii moyo. Totally disapointed