Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Wanaume wengi wanachelewa kuoa kutokana na moja ya sababu hizi;
-Uoga
-Mabinti wengi hawapo tayari kuolewa
-Dhana potofu ya kujipanga kimaisha
-Mahari kubwa
Hapo kwenye kujipanga kimaisha naiita dhana potofu sababu maisha yapo tayari hayaitaji hayo mengine ili yawe maisha, ikumbukwe unaweza oa na kazi kesho ukatumbuliwa kazini, unaweza kuwa na biashara ila ukaoa tu na kufilisika.
Vijana aoneni.