Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
3. ni changamoto kubwa sana1:Malengo
2:Ukolosefu Wa pesa
3:Kukosekana kwa partiner Wa ndoa
4: Magonjwa makubwa eg HIV/AIDS
Habari za muda huu wanajamii forum. Nia na madhumuni ya Uzi huu kujua au kutambua sababu zinazo pelekea wanawake au wanaume wachelewe kuolewa au kuoa.
Karibuni sana
LooohKAMA UNAUHAKIKA WA KUPATA MAZIWA, YANINI UFUGE NG'OMBE
Nzuri mzima love b:We ndugu habari za siku!!
kweli mkuu wowa sasaKwa upande wangu nilichelewa kuoa kwa sababu;
1. Nilichelewa kupata kazi
2. Nilikuwa sijajipanga kabla ya kuwa na kazi.
3. Sijapata wa malengo
4. Umri ulikuwa bado unaruhusu (30 yrs natimiza July )
5. Sasa ni muda muafaka kwangu, mwaka huu wangu. Nikimpata wakuwa naye sicheleweshi.