Jifunze kutofautisha full blown war na conflicts
Hivi ni vitu viwili tofauti and incorect kwamba iran
First conflict between iran na UK vimetokea 1856, british walishinda hii
Yet again 1914-1918 during WWII, japokuwa haikuwa vita ila attempt ya UK and russia kuhomba vinu vya mafuta katika ardhi ya iran
Ukiachilia mbali tukio ya 2000, ambalo haikuwa vita bali standoff
Iran hajawahi kutana UK tena kwenye full conflicts
And kusema wamekuwa wakipigana na mataifa for 8 years, labda usime afghanistan, ila sio iran