N
Ndicho waislam mnachokosea, dunia ya sasa si yakujifungia na Quran tu, yapasa msome na vitu vingine, ili muweze kuendana na hali ilivyo na changamoto zilizopo,
Ndo mana aya ya kwanza ktk inasema "Iqra bismirabbi kaladh kharaka"= soma kwa jina la mola wako.
Kwahiyo ata usome theology, philosophy, computer science, medicine.
Soma vyote kwa ajili ya kukufanya umfaham na umuabudu mola vizuri,na kma sheikh ujue changamoto na dunia ilivyo ili hata unapoongoza unakua up to date. Sasa tatizo
Quran hamuijui na secura hamuijui. Ni mvurugano tu.
All in all wape hai bakwata