Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Nilikuwa napenda sana kusikiliza hotuba na mawaidha yake. Alikuwa na busara na hekma sana yule Mzee.
Ndicho waislam mnachokosea, dunia ya sasa si yakujifungia na Quran tu, yapasa msome na vitu vingine, ili muweze kuendana na hali ilivyo na changamoto zilizopo,uongozi sio elimu tu bali busara, maarifa, hekma na uadalifu, mbona tunaongozwa na madokta lakini utadhani mangumbalu? jitathimini
N
Ndicho waislam mnachokosea, dunia ya sasa si yakujifungia na Quran tu, yapasa msome na vitu vingine, ili muweze kuendana na hali ilivyo na changamoto zilizopo,
Ndo mana aya ya kwanza ktk inasema "Iqra bismirabbi kaladh kharaka"= soma kwa jina la mola wako.
Kwahiyo ata usome theology, philosophy, computer science, medicine.
Soma vyote kwa ajili ya kukufanya umfaham na umuabudu mola vizuri,na kma sheikh ujue changamoto na dunia ilivyo ili hata unapoongoza unakua up to date. Sasa tatizo
Quran hamuijui na secura hamuijui. Ni mvurugano tu.
All in all wape hai bakwata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi kaziMufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Subhana Allah,kweli shekh alifumaniwa?Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Kama yule mzee Jongwe 93 kushangilia alipoingia na alivyotoka full shangweDuh yamekuwa hayo tena?
Nakumbuka wakati ule mufti huyu alipochaguliwa waumini waalishangilia sana kwa kuruka ruka na kucheza kwa furaha na waliohojiwa walikuwa wakimsifu sana wakisema safari hii bakwata wamempata mufti wa ukweli, sasa mambo yamebadilika tena...!
Kusoma na kuandika na kufuga majiniKwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?
Je hao viongozi wa Bakwata?
Takbiir.......!
Sheikh Ponda kuongoza Bakwata?!! Litakuwa ajabu lingine la duniaKama mrithi wake hajaandaliwa- na wale waliomsimika basi wasahau huyo mtu kutoka,hawawezi ruhusu wakina Sheikh Ponda waongoze BAKWATA!!!