Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Bakwata ni taasisi kubwa haiwezi kuyumbishwa na mtu mmoja. habari yako haina mashiko.
 
hawataki waislam wawe na umoja na maendeleo,inadaiwa huko nyuma(1992) katoliki walitoa hela ya mkutano wa bakwata..bakwata hawakuwa na kitu...yalifanyika mapinduzi bakwata miaka ya 90 mwanzoni..serikali ikamwaga FFU kuyazuwia
hawathubutu kuacha km chombo guru cha waislam coz wanajua walianzisha chombo hcho kwa lengo kuu na oda zote na mipango ya bakwata yapo chin ya uangaliz wa kanisa katolik.
 
Huyu Mzee ana-commnd respect ya hali ya juu mno ndani ya Jumuia ya Kiislamu na hata nje pia, ikiwemo serikali pamoja na vyombo vyake vyote. Wakati wa mchakato wa uchaguzi, wagombea walijitoa ili kumuachia nafasi hiyo abaki peke yake. Nashauri kama kuna chochote muwe mnakijadili ndani kwanza kabla hamjakileta huku nje kwenye mitandao ya jamii. Watu wanamuheshimu na kumpenda mno huyu mzee na wasingependa kusikia habari ambazo pengine ni tetesi tu juu yake.
 
bakwata ni taaasisi na haisimami kwa waumini wote wa kiislam, wao wanafwata itikadi za Sufi ambao suna wameziweka mfukoni, kufanya shura za mambo yao mmmmhh lazma utaona kinachoendela, Allah awafanyie wepesi wafwate sunna sahihi za Mtume Muhammad(saw)
 
Habari ya Uzinzi ni ngumu sana kuisema kwani huruhusiwi kutoa ushahidi mpaka uwe umejionea kwa macho yako mwenyewe (necked eye)
Kwa kuongezea, mashuhuda wa zinaa kwa sheria ya kiislamu ni lazima wawe 4 waliyoona kwa macho (naked eyes) kuwa hao wazinifu wanafanya hilo tendo, na ushahidi wao uwe sawa bila ya kutofautiana kinyume cha hapo mashahidi watachapwa viboko 80 na hawataweza kuaminiwa kwa ushahidi wowote baada ya hapo.
 
Habari ya Uzinzi ni ngumu sana kuisema kwani huruhusiwi kutoa ushahidi mpaka uwe umejionea kwa macho yako mwenyewe (necked eye)
Ndg.imesemwa ilionekana wake zake wanamchapa/ wanampa kipigo marehemu
 
umenena kwel MKUU
 
Kuna watu humu badala ya kujenga hoja ndio kwanza wanakimbilia kwenye udini na kukashifu dini za watu, mara sijui kitabu flani kinasema hivi bila hata kujua maana ya andiko lenyewe linasema nini....Mnaofanya hivyo muogopeni sana Mwenyezi Mungu kwani anayaona mnayoyafanya.....na lau mngelikuwa mnalijua hilo msingethubutu kufanya hivyo.
 
Mi nlikua nauliza,
Taasisi zingine za CCM kama Jumuia ya Wazazi, Umoja wa Vijana, Umoja wa Wanawake wamefanya Uchaguzi wao kipindi hiki, mbona hawa Bakwata wamesahaulika kwenye hizi chaguzi??
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anafumaniwa ktk hija, kwani huyo shehe alikuwa na mke mmoja?
 
Ndg.imesemwa ilionekana wake zake wanamchapa/ wanampa kipigo marehemu
MTU mwenye kisukari anaweza kutia bna wewe!!?..mtu aache kutiana huku akatie Makkah!!?..kilichosikika ni mke wake kugombea tenda ya kubeba mizigo ya mahujaj
 
Nasikia sifa kuu,ni idadi ya majini unayomiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…