Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Ilim sio kigezo cha kuwa Mufti, kama ingekuwa hivyo LPUMBA ashakuwa Raisi wa nchi hii.
Elimu ina umuhimu sana katika uongozi hata katika Dini.

Baada ya Elimu hizo sifa zingine kuwepo ni vizuri sana.

Suala la kuona kuwa Elimu si muhimu katika uongozi wa BAKWATA ni kitu kitakachozidi kuwarudisha nyuma Waislam.

Ni ushauri tu.
 
duuuuhhh hii noma wallahi...bora kula Kitimoto hata kwasiku moja kuliko alichokifnya Huyo sijui SHEkhe...duuuhh kaenda hijja halafu kwakutwa juu yakinembe ....loooohhhhh

mimi ndio maana mambo ya dini dini hizi huwa sifungamani NAyo aiseeeee
 
Wasema una busara ... well and good .... but post yako imejaa VIJEMBE hasa kwa IMANI NYINGINE ... how can you call your fellows WAGALATIA .... who are they by the way?
 
Wasema una busara ... well and good .... but post yako imejaa VIJEMBE hasa kwa IMANI NYINGINE ... how can you call your fellows WAGALATIA .... who are they by the way?

are you serious that you doknow who are galatians??
 
Anatafutwa wa kanda ileeee, ila sidhani kama wapo waliobobea katika ilim ahera kiviiile!!!
 
are you serious that you doknow who are galatians??
Yes I'm serious and I know exactly who Galatians are .... but Galatians don't exist .... For the way I see you meant Galatians and Christians are the same ....
 
hawathubutu kuacha km chombo guru cha waislam coz wanajua walianzisha chombo hcho kwa lengo kuu na oda zote na mipango ya bakwata yapo chin ya uangaliz wa kanisa katolik.
Umenena!
 
Sawasawa kabisa
 
Hao wanaotaka kumuondoa wameshauriana na serikali?
 
...Astakafirulah!!!
 

Tena wafanye haraka sana kumtoa. Mufti wa sasa ni kibaraka wa CcM.
Huyu ndo mufti bogus kupita wote hapa tz

Ukijihusisha na CCM lazima uwe mwizi tu!
 
Jiulizeni mkimtoa mufti mtamuweka nani kwenye hicho kiti ? Mnae mbadala kweli au mnadhani sheikh fulani mpenda majungu ataweza ??
....Hoja haina mashiko, yaani uache kuchukua hatua stahiki kwa muda muafaka eti kisa hofu ya kupata replacement? Kwa waislamu woote hapa nchini hakuna anayejua dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…