Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya.
Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja hata mmoja kenge maji meupe Hawa.
Wampelewa visungura mademu zao wananuka vikawapa Hawa ndo wapelelezi kweli?